Kwanini Walinzi wa Rais Samia hawabebi mabegi kama wale wa JPM?

Hizo sio begi za fasion ni bullet proof bag, inakua special kukinga risasi kwa dharura huku utaratibu wa kumuondoa kiongozi unafanyika kama kuna mashambulizi
Mh!!! Bullet proof kwenye begi!!
 
Maushungi ana manyonyo makubwa hawezi kuvaa bullet proof haimtoshi
Ukiwa nyuma ya keyboard epuka kuandika vitu ambavyo huwezi sema mwenyewe akiwepo. Yeye ni kiongozi zipo custom made bp ambapo anapimwa anatengenezewa simple as that ukiandika hazimtoshi kisa mwili wake nakuona mshamba hakuna lisilowezekana kwenye pesa labda uhai na kuiona pepo tu.
 
Huyo mwanajukwaa amekosea sana. Abadilike
 
Back
Top Bottom