Kwanini Walinzi wa Rais Samia hawabebi mabegi kama wale wa JPM?

Kwanini Walinzi wa Rais Samia hawabebi mabegi kama wale wa JPM?

Mimi nilidhani wanabebea hela maana mzee alikua anagawa sana hela

Ila sasa swali lamleta mada bado lipo palepale kwanini walinzi wa mama hawatembei na hizo nyenzo? Wajuaji majibu tafadhali
Mama hana Maadui wengi kwa Mfumo wa utawala wake kiasi cha kumfanya ahofie kuhusu usalama wake kwa kiwango hicho.
Tofauti na Mtangulizi wake aliumiza watu wengi sana so alilazimika kuwa na ulinzi kila mahali na wa aina tofauti, wakati mwingine anapita na gari lakini kuna ndege inafuatilia msafara huko angani. Hii ni kutokana na mfumo wa maadui aliokuwa amewatengeneza.
 
Bila kusahau lile gari lenye nondo juu ( jammer car )
 
We mshamba kweli! Hivyo vibegi si mapambo wala vibebeo ni bullet proof kwa ajili ya ulinzi.

Unaposema Samia hana hela za kugawa bure una maana gani?

Hizo 5,000,000/= kwa kila goli za walipa kodi anazonunua magoli ya Simba na Yanga aliziahidi na anazitoa nani?
Akili tope.
 
Smart sniper huwa hazuiliwi kumaliza kazi kwa msululu wa ma bodyguard.

there is no way ange come alive if a well and trained sniper wange wish him dead.

Ni sekunde chache tu mtu ana smoke sulphur [emoji378] mchezo kwishney
 
Back
Top Bottom