myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Mh!!! Bullet proof kwenye begi!!Hizo sio begi za fasion ni bullet proof bag, inakua special kukinga risasi kwa dharura huku utaratibu wa kumuondoa kiongozi unafanyika kama kuna mashambulizi
Sawasawa ..Dogo janja kabla hujaonyesha ushamba wako have good time with google 1st then come with something hizi mambo za akili finyu acha unajiaibisha
Acha lugha chafu. Pengine hujui hata kuna aina ngapi za bullet proof...Maushungi ana manyonyo makubwa hawezi kuvaa bullet proof haimtoshi
Biga ban hao..Hii haikubaliki. Moderators hili nalo liangalieni
Umenikumbusha kuna member humu JF alisema kwenye awamu ya 5 kuna mwakilishi wa Kampuni ya Dangote alitua uwanja wa ndege wa Chato akiwa na mabegi na wakati wa kuondoka Chato hakuondoka na yale mabegi!Naombeni mnijuze wakuuView attachment 2547505
Ukiwa nyuma ya keyboard epuka kuandika vitu ambavyo huwezi sema mwenyewe akiwepo. Yeye ni kiongozi zipo custom made bp ambapo anapimwa anatengenezewa simple as that ukiandika hazimtoshi kisa mwili wake nakuona mshamba hakuna lisilowezekana kwenye pesa labda uhai na kuiona pepo tu.Maushungi ana manyonyo makubwa hawezi kuvaa bullet proof haimtoshi
Huyo mwanajukwaa amekosea sana. AbadilikeUkiwa nyuma ya keyboard epuka kuandika vitu ambavyo huwezi sema mwenyewe akiwepo. Yeye ni kiongozi zipo custom made bp ambapo anapimwa anatengenezewa simple as that ukiandika hazimtoshi kisa mwili wake nakuona mshamba hakuna lisilowezekana kwenye pesa labda uhai na kuiona pepo tu.
VETA siendi tena nabaki JfJF Inatoa Diploma, Degree, Masters, PhD
Achana Na Zile Za Kununua Dollar 2500/=
Hawa ndio wale wakiwekwa mbele ya umati wanabaki kusema samahani wakati ki utu uzima tu unatakiwa uchuje nn unachoandika na kinaenda kwa naniHuyo mwanajukwaa amekosea sana. Abadilike
Mbwwa wMaushungi ana manyonyo makubwa hawezi kuvaa bullet proof haimtosh
Swali la msingi halijajibiwa.Kwa nini wa Samia hawabebi?Na Uzi ufungwe