CrapUgali ni chakula cha kushangaza ambacho hupendwa sana na watu wengi Africa Mashariki, kati na magharibi. Tatizo la ugali ni kwamba hauna ladha, hauliki wenyewe bila chakula cha ziada.
Wazungu waliotuletea mahindi Africa karne ya 17 wao hawali ugali, wachache wanaokula wameendelea kula mahindi ya kuchemsha badala ya ugali.
Hakuna namna Waafrika tumeingizwa kingi kwenye hiki chakula kweli??
Bado mnakula uliokobolewa?Kibaya zaidi ugali mweupe unasaga mahindi yaliyokobolewa, kukoboa mahindi kunaondoa virutubisho kama protini, unabaki na wanga tu.
Ugali mweupe hauna virutubisho, ni nishati tu.
Ugali ni varieties tu ya Mahindi. Hata wazungu wanakula sana vyakula vinavyotokana na MahindiUgali ni chakula cha kushangaza ambacho hupendwa sana na watu wengi Africa Mashariki, kati na magharibi. Tatizo la ugali ni kwamba hauna ladha, hauliki wenyewe bila chakula cha ziada.
Wazungu waliotuletea mahindi Africa karne ya 17 wao hawali ugali, wachache wanaokula wameendelea kula mahindi ya kuchemsha badala ya ugali.
Hakuna namna Waafrika tumeingizwa kingi kwenye hiki chakula kweli??
Angalia kuna picha hapo juu ina nishati, protein, na fiber za kutosha.Kibaya zaidi ugali mweupe unasaga mahindi yaliyokobolewa, kukoboa mahindi kunaondoa virutubisho kama protini, unabaki na wanga tu.
Ugali mweupe hauna virutubisho, ni nishati tu.
Picha gani, post namba ngapi?Angalia kuna picha hapo juu ina nishati, protein, na fiber za kutosha.
Post #3Picha gani, post namba ngapi?
Nishati nimeisema. Protein ni ugali wa dona, si mweupe. Fiber si kirutubisho.
Post #3 ina ugali samaki na mboga.Post #3
Mimi kula ugali mpaka nimtembeleee Mtanzania.Bado mnakula uliokobolewa?
Uji mgumu 😂😂Ugali ni chakula cha kushangaza ambacho hupendwa sana na watu wengi Africa Mashariki, kati na magharibi. Tatizo la ugali ni kwamba hauna ladha, hauliki wenyewe bila chakula cha ziada.