Kwanini waliotuletea mahindi wao hawali ugali?

Kwanini waliotuletea mahindi wao hawali ugali?

Ugali ni sumu
Ndo maana Watanganyika hawana lishe.
Ugali ni kama kilevi, Suma na uchafu na mwili wa binadamu hauhitaji maugali.
Ugali hata mbwa, panya, paka wanaukataa we binadamu ndo unaona mlo wa maana
 
Kwani kuna anayekula wali mkavu bila ya mboga? Hata mkate (Ngano) bila ya mbona hauna ladha. Ukifika uarabuni wanakula sana mikate ila sharti iwe na mchuzi / supu ya nyama.

Hata wafilipino wanakula sana ugali!
 
Kwa watu wa vijijini ,ugali ni muhimu sana katika mlo wa kila siku kwasababu unawapa nishati ya kufanya kazi ngumu kama kulima,kutembea umbali mrefu kukata kuni,kuteka maji n.k ila kwa watu wa mjini ambao kazi nyingi ni za kukaa na hawatembei sana kwa miguu, ugali kwao sio muhimu sana kwani unaweza kuwaletea vitambi
 
Back
Top Bottom