Protein ni kitu unachotakiwa kula kila siku, ndiyo maana kuna viwango vya daily intake vya protein, hujui hilo?Sidhani kama watakula sembe na mchicha kila siku, naamini kunasiku protein ya aina yoyote itakatiza mitaa hiyo.
Daily intake nchi hii au mnaongelea wapi? Maisha ya Tanzania tunatafuta ugali kwanza, yani kidume unahakikisha unga upo ndani, hizo protein ni matokeo tu. Kwa hiyo hizo protein daily value nchi hii ni mtihani sana wakuu.Protein ni kitu unachotakiwa kula kila siku, ndiyo maana kuna viwango vya daily intake vya protein, hujui hilo?
Nakwambia ugali unaweza kuwa na protein, bado huelewi somo.Daily intake nchi hii au mnaongelea wapi? Maisha ya Tanzania tunatafuta ugali kwanza, yani kidume unahakikisha unga upo ndani, hizo protein ni matokeo tu. Kwa hiyo hizo protein daily value nchi hii ni mtihani sana wakuu.
Virutubisho unavipata kwenye mbogaKibaya zaidi ugali mweupe unasaga mahindi yaliyokobolewa, kukoboa mahindi kunaondoa virutubisho kama protini, unabaki na wanga tu.
Ugali mweupe hauna virutubisho, ni nishati tu.
Hii ni mentality ya kutupa hela ulizonazo tayari na kutafuta nyingine kwingine, kwa sababu ya mazoea tu.Virutubisho unavipata kwenye mboga
Unaweza kula mahindi Yakiwa mabichi ya kuchemshwa au kuchoma. Hao wazungu wanakula hivyo kabla ya kuprocess hatua ya kuwa ugali.Mimi nazungumzia ugali kama ugali wenyewe. Mfano viazi, ndizi na mihogo vinalika vyenyewe bila kutegemea kiambatanisho kingine ila ugali haiwezekani.
Mkuu mi nadhani Kila bara Lina asili ya chakula chake. Kwakweli ni ngumu sana sisi waafrika kuachana na ugali ukiendana na nature yetu na Wala Sioni tatizo la ugali na hata ukileta reason zako au madhara Yako hapa bila shaka utasema utafiti uliofanywa na chuo kikuu Cha oxford katika Nchi ya uingereza unasema una ugali una madhara haya na Yale!!Kwa nini mzungu yeye hali huo ugali??
Ni survival food, bila ugali na vaccinations population ya Africa ingekuwa close to zeroUgali ni chakula cha kushangaza ambacho hupendwa sana na watu wengi Africa Mashariki, kati na magharibi. Tatizo la ugali ni kwamba hauna ladha, hauliki wenyewe bila chakula cha ziada.
Wazungu waliotuletea mahindi Africa karne ya 17 wao hawali ugali, wachache wanaokula wameendelea kula mahindi ya kuchemsha badala ya ugali.
Hakuna namna Waafrika tumeingizwa kingi kwenye hiki chakula kweli??
Ukitaka kuoza Meno kwa haraka sana tumia huo unga wa Sembe ndani ya Mwezi tu Meno yanaanza kuitaUgali mweupe hauna virutubisho, ni nishati tu.
Is a cultural thing sio kama hawaupendi ugali, hawaujui tuu ndio maana Hawali, US ni number one Kwa kilimo Cha mahindi duniani lakini sababu kubwa wanalima mahindi ni kulisha ng'ombe na kitimotoKwa nini mzungu yeye hali huo ugali??
Ni kama wale wanaoimbisha usiku kucha kwenye mikesha, ukifuatilia matendo yao utachokaUgali ni chakula cha kushangaza ambacho hupendwa sana na watu wengi Africa Mashariki, kati na magharibi. Tatizo la ugali ni kwamba hauna ladha, hauliki wenyewe bila chakula cha ziada.
Wazungu waliotuletea mahindi Africa karne ya 17 wao hawali ugali, wachache wanaokula wameendelea kula mahindi ya kuchemsha badala ya ugali.
Hakuna namna Waafrika tumeingizwa kingi kwenye hiki chakula kweli??
Aliyeleta mahindi Africa ni mzungu lakini huwa hali huo ugali wako, wanakula mahindi ya kuchemsha. Achana na hizo story kwamba mazao ya mzungu yanakosa Virutubisho kwa sababu yanayooteshwa artificially, mahindi yanayolimwa Africa yanawekwa mbolea na dawa hizo hizo zinazotumika Marekani na Ulaya.Cha mzungu na cha kwetu hakiwezi kuwa sawa especially kwenye vitu vya misaada. Wengi wetu tunafahamu kabisa mahindi yao yankuzwa artificially sana. Hivyo kiwango cha virutubisho asilia ni vidogo mno na vinavyopatikana hujakuongezewa tu na wanakemia.
Mwisho wa siku ugali wetu utabaki kuwa salama na bora zaidi. Mwisho wa siku ni hilo janga la njaa tu lituepuke la sivyo itatulazimu tule kemikali zao.
All in all Muthungu sio wa kumwamini
Mimi naongelea ugali na mahindiUnaweza kula mahindi Yakiwa mabichi ya kuchemshwa au kuchoma. Hao wazungu wanakula hivyo kabla ya kuprocess hatua ya kuwa ugali.
Ugali ni hatua ya mwisho usiseme viazi au mihogo hata vyenyewe vinaleta Unga. Kuna ugali wa muhogo, kuna matobolwa au michembe ya viazi nk
Tule dona...Hii ni mentality ya kutupa hela ulizonazo tayari na kutafuta nyingine kwingine, kwa sababu ya mazoea tu.
ππππππππππView attachment 3038919
karibuni wadau...
Hiki ndiyo chakula bora na halali binadamu anaruhusiwa kula. ππππHayo Si ndo matakataka?
Chakula gani unaweza kula bila chakula cha ziaga? Embu niambieUgali ni chakula cha kushangaza ambacho hupendwa sana na watu wengi Africa Mashariki, kati na magharibi. Tatizo la ugali ni kwamba hauna ladha, hauliki wenyewe bila chakula cha ziada.
Wazungu waliotuletea mahindi Africa karne ya 17 wao hawali ugali, wachache wanaokula wameendelea kula mahindi ya kuchemsha badala ya ugali.
Hakuna namna Waafrika tumeingizwa kingi kwenye hiki chakula kweli??