Kwanini wana Yanga SC na Uongozi wao haujakanusha kauli ya shabiki mwenzao kuwa ushindi wao NBC ni wa Tigo Pesa tu?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Nimeshashuhudia wana Yanga SC wakijitokeza kwa nguvu zote kutetea kauli za kuwachafua na kuwatuhumu ila kwa hii ya mmoja wa shabiki na mwanachama wao hivi majuzi baada ya kutoka Suluhu na Club Africaine ya nchini Tunisia kusema kuwa Unbeaten Record yao na ushindi wao katika Ligi Kuu ya NBC ya Tanzania ni kutokana na Tigo Pesa hakuna aliyemjibu, na tena 99% ya wana Yanga SC wanajifanya kama vile hawajaisikia au hawajamsikia mwenzao huyo.

Haya wana Yanga SC wote mlioko hapa JamiiForums tafadhalini hebu jibuni hii shutuma ili hata mimi GENTAMYCINE nisiye mshabiki wa timu yoyote ile hapa Tanzania (japo Uingereza ni mwana Liverpool FC wa kutukuka kabisa) niweze kujua nani ni mkweli na muongo.
 

Huyu jamaa juzi alipiga jezi ya Yanga akaanza kumtukana hersi,makolo mbinu zenu za kizamani sana!
 
View attachment 2407047
Huyu jamaa juzi alipiga jezi ya Yanga akaanza kumtukana hersi,makolo mbinu zenu za kizamani sana!
Zimefanikiwa kwa 85% mpaka sasa na mtakapopigwa 4 kwa 0 au 6 kwa 0 huko ( kule ) Tunisia Jumatano ijayo tarehe 9 Novemba, 2022 ndiyo zitatimia / zitakamilika zote 100% sawa?
 
Punguza gubu
 
unachokitaka hasa kwa yanga ni nini?
 
Endeleeni kuedit utopolo
Hii picha tabasamu ni lile lile mkawabadilisha nguo picha ni ileile ilipigwa muda huohuo angle tofauti na wahusika ni wale wale kwenye picha ya kwanza angalieni kwa makini uto mnadanganywa. Pia macho hayawezi yakawa yanaangalia sehemu moja tu kwenye picha ya kwanza na ya pili danganyweni tu utopolo
 
View attachment 2407047
Huyu jamaa juzi alipiga jezi ya Yanga akaanza kumtukana hersi,makolo mbinu zenu za kizamani sana!
Kweli uwezo wa mashabiki wa yanga ni mdogo mi nilijua utaweka labda taarifa za kadi yake za uanachama kumbe jezi tu na ww una uhakika gani kwamba ni shabiki wa simba jezi sio ushahidi pekee unaoweza kumtambulisha mtu team anayoshabikia engineer hersi na manara pamoja na senzo walivaa jezi za kaizer chief walipokuja kucheza na simba na wale tuwaiteje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…