Kwanini wana Yanga SC na Uongozi wao haujakanusha kauli ya shabiki mwenzao kuwa ushindi wao NBC ni wa Tigo Pesa tu?

Nimeshashuhudia wana Yanga SC wakijitokeza kwa nguvu zote kutetea kauli za kuwachafua na kuwatuhumu ila kwa hii ya mmoja wa shabiki na mwanachama wao hivi majuzi baada ya kutoka Suluhu na Club Africaine ya nchini Tunisia kusema kuwa Unbeaten Record yao na ushindi wao katika Ligi Kuu ya NBC ya Tanzania ni kutokana na Tigo Pesa hakuna aliyemjibu, na tena 99% ya wana Yanga SC wanajifanya kama vile hawajaisikia au hawajamsikia mwenzao huyo.

Haya wana Yanga SC wote mlioko hapa JamiiForums tafadhalini hebu jibuni hii shutuma ili hata mimi GENTAMYCINE nisiye mshabiki wa timu yoyote ile hapa Tanzania (japo Uingereza ni mwana Liverpool FC wa kutukuka kabisa) niweze kujua nani ni mkweli na muongo.
FB_IMG_16675061901578476.jpg

Sasa mazingira kama haya unaanzaje kukanusha?
 
Nimeshashuhudia wana Yanga SC wakijitokeza kwa nguvu zote kutetea kauli za kuwachafua na kuwatuhumu ila kwa hii ya mmoja wa shabiki na mwanachama wao hivi majuzi baada ya kutoka Suluhu na Club Africaine ya nchini Tunisia kusema kuwa Unbeaten Record yao na ushindi wao katika Ligi Kuu ya NBC ya Tanzania ni kutokana na Tigo Pesa hakuna aliyemjibu, na tena 99% ya wana Yanga SC wanajifanya kama vile hawajaisikia au hawajamsikia mwenzao huyo.

Haya wana Yanga SC wote mlioko hapa JamiiForums tafadhalini hebu jibuni hii shutuma ili hata mimi GENTAMYCINE nisiye mshabiki wa timu yoyote ile hapa Tanzania (japo Uingereza ni mwana Liverpool FC wa kutukuka kabisa) niweze kujua nani ni mkweli na muongo.
Hawana ubavu wa kukanusha, wanajua wakikanusha watu wataweka ushahidi hadharani!!
 
Back
Top Bottom