Kwanini wanafunzi wa International schools wao huwa hawatolewi Darasani kwenda kushangilia watawala

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2020
Posts
4,548
Reaction score
11,901
Jiji kama Arusha limejaa Internatiinal schools zilizo karibu karibu sana tena zingine jirani kiasi na Shule za wanao soma wajinga wa hili Taifa kama radius ya km 5 hadi 10 hivi. Ila hizi International School wao kwa sababu wana jua what is Education huwezi watoa Darasani kwenda kushangilia.

Wazazi wa watoto wanao soma hizi shule za Internationa schools hawawesi kubaliana na ujinga huu wa kuwatoa Darasani watoto wao eti wakamfurahishe Samia.

Kumbuka wazazi hawa ni wajanja na watoto wao ni wajanja pia na walimu ni wajanja pia.

Hizi shule pia usisahau pia kwamba zinaandaa watoto watakao tawala wajinga wa nchi hii huwezi ona wao wanatolewa Darasani kwenda kushangilia watawala wa nchi hii kwa sababu wana jukumu moja tu kusoma ili watawale wajinga.

Mfano hizi shule utakuta wapo watoto wa Mwigulu Nchemba ambao kabla hatujafa lazima tushuhudie akitutawala sisi na watoto wetu na huenda na wajukuu zetu.

Sasa shule wanao soma wajinga wa hili taifa ndio hao lazima watolewe Darasani kwenda kushangilia watawala. Kumbuka pia Ujinga ni mtaji namba 2 wa CCM baada ya mtaji wa masikini.

Hizi shule zina wazazi wajinga sana + Wanafunzi full wajinga + Walimu Over Wajinga= Internationa Ujinga.

Na wazazi wa hizi shule kwa sababu ni wajinga wanakubaliana na watoto wao ambao ni full wajinga, waache kusoma waende kushangilia watawala.Yaani hapa kuna Cycle ya ujinga inazalishwa hapa.

Na last huwa watawala wanatufurahisha na matokeo, sasa hizi shule tukiona watoto wamepata Division 1 tunaelewa kwamba ndio elimu yenyewe kumbe ni ujinga mtupu.

Jiulize kwani watawawa hawataki watoto wao wawe Tanzania one au wapate Div 1? kwa nini wanawapeleka International? Jibu unalo.

Tuendelee kushangilia ujinga make ujinga ni jadi yetu.
 
Dar es salaam international schools wako mbele Sana kushiriki shughuli za kitaifa

Mfano michezo ya halaiki ya kiwango cha kimataifa wao ndio hufanya uwanja WA taifa
Ni njia mmojawapo pia ya katangaza shule zao na ndio maana Dar watu wengi wakiwemo viongozi ,wafanyabiashara NK waswahili huzifahamu na kupeleka watoto Kwa wingi sababu hufurahia ubara wanaouona Kwa macho

Hao wanaojifungia ndani sina comment NI hiari yao biashara

kutangaza au kutotangaza NI maamuzi ya mwenye nayo
 
Yaani kweli kabisa ndugu yangu unataka kutuambia kuwa umewahi kuwaona wanafunzi wa Tanganyika international school wamejipanga barabarani wanangojea mwenge? Tafaadhali ndugu.
Dar es salaam international schools wako mbele Sana kushiriki shughuli za kitaifa

Mfano michezo ya halaiki ya kiwango cha kimataifa wao ndio hufanya uwanja WA taifa
Ni njia mmojawapo pia ya katangaza shule zao na ndio maana Dar watu wengi wakiwemo viongozi ,wafanyabiashara NK waswahili huzifahamu na kupeleka watoto Kwa wingi sababu hufurahia ubara wanaouona Kwa macho

Hao wanaojifungia ndani sina comment NI hiari yao biashara

kutangaza au kutotangaza NI maamuzi ya mwenye nayo
 
Ndio nasema wazazi wao wanaona poa na ndio maana wanakusanywa..kwahiyo mtoa post asiingilie uhuru wa wanafunzi wanaosoma private..wazazi wao wanajitambua
Ata wazazi wao hawana time kujua ratiba ya wanafunzi wao wako bzy kutafuta pesa.
 
Dar es salaam international schools wako mbele Sana kushiriki shughuli za kitaifa

Mfano michezo ya halaiki ya kiwango cha kimataifa wao ndio hufanya uwanja WA taifa
Mikutano ya kisiasa sio shughuli za kitaifa.
 
Wazazi wa wanafunzi wa international school wanamaamuzi ya nchi.kwa hiyo hawawezi kukubali watoto wao kuvurugwavurugwa na CCM.Wazazi wao ndiyo hao watoto wa mawaziri Mfano mwigulu nchemba au mtoto wa GSM aende kushangilia mkutano wa CCM?Hizi shule za kayumba zimeandaliwa Kwa ajili ya tabaka la kutawaliwa ndiyo maana wanapelekeshwa kupokea rais ili kujaza watu aonekane anapendwa na kuendelea kuwajaza maujinga ili wawe na ufikiri mdogo. Kipindi tunasoma enzi zetu tuliimbishwa nyimbo za kijinga za kuaminishwa idd amini alikuwa anakula nyama za watu kumbe uongo mtupu.
 
Dogo punguza ujuaji! Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania ni WA kumheshimu sana.

Lazima watoto, wanafynzi na walimu wao wakampokee.

Mtu yeyote akileta upinzani kwenye mapokezi hayo ndani ya nusu saa anaanza kupokea jeuri yake. Ova
 
Jiji kama Arusha limejaa Internatiinal schools zilizo karibu karibu sana tena zingine jirani kiasi na Shule za wanao soma wajinga wa hili Taifa kama radius ya km 5 hadi 10 hivi. Ila hizi International School wao kwa sababu wana jua what is Education huwezi watoa Darasani kwenda kushangilia.

Wazazi wa watoto wanao soma hizi shule za Internationa schools hawawesi kubaliana na ujinga huu wa kuwatoa Darasani watoto wao eti wakamfurahishe Samia.

Kumbuka wazazi hawa ni wajanja na watoto wao ni wajanja pia na walimu ni wajanja pia.

Hizi shule pia usisahau pia kwamba zinaandaa watoto watakao tawala wajinga wa nchi hii huwezi ona wao wanatolewa Darasani kwenda kushangilia watawala wa nchi hii kwa sababu wana jukumu moja tu kusoma ili watawale wajinga.

Mfano hizi shule utakuta wapo watoto wa Mwigulu Nchemba ambao kabla hatujafa lazima tushuhudie akitutawala sisi na watoto wetu na huenda na wajukuu zetu.

Sasa shule wanao soma wajinga wa hili taifa ndio hao lazima watolewe Darasani kwenda kushangilia watawala. Kumbuka pia Ujinga ni mtaji namba 2 wa CCM baada ya mtaji wa masikini.

Hizi shule zina wazazi wajinga sana + Wanafunzi full wajinga + Walimu Over Wajinga= Internationa Ujinga.

Na wazazi wa hizi shule kwa sababu ni wajinga wanakubaliana na watoto wao ambao ni full wajinga, waache kusoma waende kushangilia watawala.Yaani hapa kuna Cycle ya ujinga inazalishwa hapa.

Na last huwa watawala wanatufurahisha na matokeo, sasa hizi shule tukiona watoto wamepata Division 1 tunaelewa kwamba ndio elimu yenyewe kumbe ni ujinga mtupu.

Jiulize kwani watawawa hawataki watoto wao wawe Tanzania one au wapate Div 1? kwa nini wanawapeleka International? Jibu unalo.

Tuendelee kushangilia ujinga make ujinga ni jadi yetu.
Sijawahi kuona uzi wenye makavu live kwa ccm kama huu.
 
Raia Samia hakulazimisha mwananchi aje kwenye mkutano wake ni hulka za waalimu na wanafunzi wao kutaka kwenda kumwona rais Samia.

Lakini pia rais angeamua wanafunzi wote bila kujali international au local government schools wote watoke darasani wangetoka tu.

CCM got power. 👍😃
 
Back
Top Bottom