GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Akina GENTAMYCINE tuliosoma miaka hiyo ya mid 80's hadi late 90's mpaka leo Majina ya Walimu Wakuu, Walimu waliotufundisha hadi Walinzi wa Shule tunajua majina yao.
Mitoto ya Siku hizi hawawajui Walimu Wakuu Wao na wanaowajua zaidi ni Wasanii, Madereva wa School Bus zao, Bajaji na Wauza Chips tu.
Hovyo kabisa!
Mitoto ya Siku hizi hawawajui Walimu Wakuu Wao na wanaowajua zaidi ni Wasanii, Madereva wa School Bus zao, Bajaji na Wauza Chips tu.
Hovyo kabisa!