GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mawaziri wenyenye ndo hao wiziwizi niwajue wa kazi gani....Sio tu waalimu hata baraza la mawaziri hawalifahamu. Elimu imevurugwa sana
Mawaziri wenyenye ndo hao wiziwizi niwajue wa kazi gani....
Kuwafahamu mafisadi kama nyie kunamsaidiaje mtoto?Sio tu waalimu hata baraza la mawaziri hawalifahamu. Elimu imevurugwa sana
Kusoma ni pamoja na kumjua anayekufundisha..!!Shuleni watu wanenda kusoma au kuwajua walimu?
Kuwafahamu mafisadi kama nyie kunamsaidiaje mtoto
Bora umjue Osama bin Laden kuliko kumfahamu Nchembana mbaya zaidi kumfahamu gaidi inamharibu sana mtoto
Wewe umesoma shule gani? "mramba" ni kitu gani? Unajidhihirisha ulivyo mwanamke wa hovyo kabisa kumbaffff.Bora umfahamu nchemba kuliko gaidi na mramba asali mbowe
Waziri zamani alikuwa anakaa miaka hata 5 bila kubadilishwa sio sasa anaweza asifike miezi 6 akabadilishwa..........Sio tu waalimu hata baraza la mawaziri hawalifahamu. Elimu imevurugwa sana
Uzi wa kijinga mnooAkina GENTAMYCINE tuliosoma miaka hiyo ya mid 80's hadi late 90's mpaka leo Majina ya Walimu Wakuu, Walimu waliotufundisha hadi Walinzi wa Shule tunajua majina yao.
Mitoto ya Siku hizi hawawajui Walimu Wakuu Wao na wanaowajua zaidi ni Wasanii, Madereva wa School Bus zao, Bajaji na Wauza Chips tu.
Hovyo kabisa.....!!!!!!
Numbisa mramba asariBora umfahamu nchemba kuliko gaidi na mramba asali mbowe