Z zonda JF-Expert Member Joined Jan 19, 2023 Posts 2,214 Reaction score 2,713 Mar 12, 2023 #61 econonist said: 'Sio mramba ni mlamba. Ulisomea ujinga shuleni?. By Faiza Fox Click to expand... 'kuramba' ni sahihi pia,Kama 'kuroga' na 'kuloga'..hizi zenye 'r' hutumika zaidi Zanzibar
econonist said: 'Sio mramba ni mlamba. Ulisomea ujinga shuleni?. By Faiza Fox Click to expand... 'kuramba' ni sahihi pia,Kama 'kuroga' na 'kuloga'..hizi zenye 'r' hutumika zaidi Zanzibar
GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 60,660 Reaction score 121,325 Mar 12, 2023 Thread starter #62 Dr Count Capone said: Sasa naungana na wana JF wote kuwa wewe ni POPOMA. Click to expand... Kuliko waliokuleta duniani?
Dr Count Capone said: Sasa naungana na wana JF wote kuwa wewe ni POPOMA. Click to expand... Kuliko waliokuleta duniani?
Randy orton JF-Expert Member Joined Apr 29, 2019 Posts 1,338 Reaction score 3,561 Mar 12, 2023 #63 Kwahiyo ulivyowajua walimu uligundua kitu Gani kilicholeta faida katika nchi ?
GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 60,660 Reaction score 121,325 Mar 12, 2023 Thread starter #64 Randy orton said: Kwahiyo ulivyowajua walimu uligundua kitu Gani kilicholeta faida katika nchi ? Click to expand... Niligundua kuwa Wapumbavu / Mapopoma kama Wewe ndiyo mnaochelewesha. Maendeleo Chanya kwa Taifa letu hili la Tanzania.
Randy orton said: Kwahiyo ulivyowajua walimu uligundua kitu Gani kilicholeta faida katika nchi ? Click to expand... Niligundua kuwa Wapumbavu / Mapopoma kama Wewe ndiyo mnaochelewesha. Maendeleo Chanya kwa Taifa letu hili la Tanzania.