Mimi naona michepuo ianzie darasa la 5 Mara tu baada ya matokeo ya darasa la 4
Hongera sana mkuu...Sikubaliani na hoja yako kwa sababu mimi binafsi shule ya msingi sikufanya vizuri masomo ya sayansi hata hisabati ila nilipopelekwa sekondari utoto uliponiisha nikapenda sayansi na hisabati na kufanya vizuri sayansi kuliko art kwenye matokeo ya O level.
Kama mfumo wa sasa uendelee basi uende hivyo hivyo mpaka kidato cha nne kwa wanafunzi wote na sio kuwachuja ikifika form II kwamba huyo atasoma Physics na Chemistry lakini yule hasomi.Sikubaliani na hoja yako kwa sababu mimi binafsi shule ya msingi sikufanya vizuri masomo ya sayansi hata hisabati ila nilipopelekwa sekondari utoto uliponiisha nikapenda sayansi na hisabati na kufanya vizuri sayansi kuliko art kwenye matokeo ya O level. Hivyo nawaza mfumo wa sasa uendelee tu.
Huu utafiti wako wa wanafunzi wa kike na kiume nina mashaka nao sana mkuu...Sikubaliani na hoja yako kwa sababu mimi binafsi shule ya msingi sikufanya vizuri masomo ya sayansi hata hisabati ila nilipopelekwa sekondari utoto uliponiisha nikapenda sayansi na hisabati na kufanya vizuri sayansi kuliko art kwenye matokeo ya O level. Hivyo nawaza mfumo wa sasa uendelee tu. Maana utafiti unaonyesha akili za watoto wa kiume zinaanza kutulia wakiwa kwenye advanced stage baada ya balehe ambayo ni huko O level. Watoto wa kike akili yao iko stable except kwa changamoto ndogondogo kama MP nk zingatia wao wanavunja ungo mapema wakiwa primary school wa kiume wanachelewa
Asante kwa ushauri wako mkuusekondari akili ya kijana wa kiume ndo inaanza kutulia....mimi wazo nalopendekeza miaka ya shule ya msingi ipunguzwe hadi miaka 6 au iongezwe hadi miaka 8 ya sekondari o level iwe 3 .
Mkuu, sasa kwa hali hii wale wadogo zetu wenye thinking capacity nzuri si wanaonewa na mfumo wetu huu wa elimu...Changamoto ni nyingi. Ufaulu unapimwa na storage capacity na sio thinking capacity
Ni kweli kuna mambo ambayo viongozi wanahitajika wayape kipaumbele cha kwanza maana akili ikiwa vizur kutokana na msingi mzur wa elimu tunauhakika wa kuwa na maendeleo kwani tuna uhakika wa kuwa na wasomi wenye uwezo mkubwa wakufikiri...Mkuu, sasa kwa hali hii wale wadogo zetu wenye thinking capacity nzuri si wanaonewa na mfumo wetu huu wa elimu...
Sawa kabisa mkuu...Ni kweli kuna mambo ambayo viongozi wanahitajika wayape kipaumbele cha kwanza
Kwani da Mange na chadema wanasemaje?Mimi naona michepuo ianzie darasa la 5 Mara tu baada ya matokeo ya darasa la 4
Sijui wanasemaje mkuuKwani da Mange na chadema wanasemaje?
Ninakubaliana sana na hii kauli yako mkuuNi kweli kuna mambo ambayo viongozi wanahitajika wayape kipaumbele cha kwanza maana akili ikiwa vizur kutokana na msingi mzur wa elimu tunauhakika wa kuwa na maendeleo kwani tuna uhakika wa kuwa na wasomi wenye uwezo mkubwa wakufikiri...
Unapanua harddisk katika ubongo wake mkuu. Hahahaaaaa I am just kiding bro.Changamoto ni nyingi. Ufaulu unapimwa na storage capacity na sio thinking capacity.. Ukute mtoto wako ni 2GB na memory iko full tayari. iyo form 4 izo 4GB storage anazitolea wapi ?
Hahahahaaaaa, acha kuwaza hayo mkuu. Mungu hapendi watu kuchepukaMuwe munaandika kwa herufi kubwa
Mwenzenu nikasoma ati mchepuko.. !
Yaani we acha tu
👍Hahahahaaaaa, acha kuwaza hayo mkuu. Mungu hapendi watu kuchepuka
Upo sahihi sana mkuuIwe kuanzia kidato Cha kwanza, baada ya matokeo ya darasa la saba. Kwan matokeo yatatoa jawabu chanya kwa kulinganisha na darasa la nne
Wewe utakuwa ni mhenga sana mkuu...Labda kwa sasa hivi. Miaka hiyo wale waliosoma sekondari za ufundi masomo kama History, Geography na Biology walikuwa hawasomi/haafanyii mtihani form four.
Naipinga hoja hii kwa sababu zifuatazo;Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums.
Ndugu zangu watanzania eti;
Kwanini wanafunzi wasianze kidato cha kwanza "directly" na michepuo ya sayansi (Physics, Chemistry) au arts kwa kuzingatia matokeo ya darasa la saba na sio kusubiri mpaka afike kidato cha pili?
Yale masomo saba ya msingi yabaki palepale ambayo ni BIOLOGY, GEOGRAPHY, HISTORY, KISWAHILI, ENGLISH, CIVICS, BASIC MATHEMATICS.
Yaani kwanini mwanafunzi aliyepata ufaulu hafifu katika somo la sayansi katika matokeo ya darasa la saba bado analazimika kusoma tena sayansi hiyo hiyo (Physics na Chemistry) kuanzia form I mpaka form II? Huko sio kuwapotezea muda hawa wanafunzi?
Kama ni kweli tunataka kupiga hatua na kuwa na wanasayansi bora hapo mbeleni, kwanini somo la sayansi kwa shule za msingi lisivunjwe mara tatu kisha yakapatikana masomo matatu ya Baiolojia, Fikizia pamoja na Kemia yatakayofundishwa separately kama ambavyo Kiingereza na Kiswahili vinavyofundishwa?
Hayo ni mawazo yangu tu ndugu zangu na ninakaribisha ukosoaji (Constructive Critisism)
NB: Suala la lugha ya kufundishia kati ya Kiingereza na Kiswahili kwa shule za msingi na secondary sio lengo la mada hii ninaomba tusilizungumzie kwa sasa.
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.