Kwanini wanaharakati wanajali usalama wao bila kuthamini usalama wetu?

Huu mwandiko wa popoma nmeshituka
 
Hata minyumbu iliyo jaa humu jf kazi kuchochea moto ila wenyewe siku ya maandamano haitoi hata pua yaani yaanaigopa serikali mpaka yanatumia majina feki ila wasijulikane ila yanataka vijana wadogo waende kukabiliana na bunduki ana kwa ana.
 
Huwezi kuwa unafurahia upuuzi wa watu kuuliwa na ktekwa
Haiwezekani ufurahie ulaghai wa uchaguzi
Lazima nikukemee Kwa upumbavu kama huu
Huu Uzi wapi umezubgunzia uchanguzi na kufurahi ?

Mimi nawasaidia watu wasiuliwe hovyo kwa kuwafuata wanaharakati kinyumbuz
 
Mbona samia na wambura wanajali usalama wao? Mbona hawaji kuzuia maandamano badala yake wanatuma watoto wa watu kuua?
 
Critical thinking imepotea kwa watu wengi.

Mimi siipendi CCM na Serikali kwa ujumla lakini hilo halinifanyi niwe kama nyumbu nisapoti kila harakati bila kufikiri kisawasawa
Skiza we kiazi, iko hivi , wanaharakati mfano Mange na Maria ni nguzo kuu ambazo wananchi wanazitumia kupeleka na kupata taarifa muhimu ambazo zibasaidia kufungua fikra za ukombozi. Sababu inayofanya wajifiche/tuwafiche ni ili wasiuawe au kufungwa sababu ukombozi utarudisshwa nyuma kama ilivo sasa walivofungia accounts zao. Kungekua hakuna kutekana,kufungwa kiholela wala kuuawa kiholela hakuna ambae angejifucha.

Unaona walichomfanyia Tundu Lissu? Vipi kuhusu Humphrey Polepole? unadhani kwa nini wanawafanyia haya wanayowafanyia? ni ili wasilence sauti za wananchi na wafiche ujinga wao wote wanaoufanya wa ufisadi na uuzaji wa laslimali bila kuwajibika. Sasa unataks na kina Maria waje ili watekwe? wauawe? au wapotezwe ili tusipate taarifa tena za kuwezesha kukomboa nchi? mknd wako[emoji34]
 
Ndo anacho uliza mleta mada Kama wao wanajua kabisa kuwa hii serikali haina huruma mpaka wao kukimbia nchi kulinda maisha yao kwanini wanaendelea kuwachocheq vijana waikabili hii serikali katili ambayo wao wenyewe wameikimbia bila kujali maisha ya vijana.
 
hawawezi kuzingatia usalama wa malofa wa kifikra hata siku moja

zawadi yao kubwa kwa wahanga wanao wabeba ufala wa kifikra ni kuwaposti mitandaoni wakiwa wameumizwa au ku R.I.P
Plo Lumumba ameongea leo kuhusu Samia,hebu kamsikize na waambie kina Kabudi wazee wenzio wamsikiize labda mtaweza kuwa na utu...
 
Waingereza wana msemo "TO EVADE A BLOW IS NOT COWARDICE" umeelewa wewe pimbi?
 
Unataka kusemaje? kwamba watanzania wote tuogope serikali dhalimu tusifanye lolote tuwaache waendelee kuvunja katiba, kutuharibia nchi kwa kuongeza kodi na kutojari maendeleo ya jamii na kufanya wanavotaka? lazima tupate watu wachache watakaotuongoza njia tusivurugane. Hata jeshi likiwa linaenda vitani laxima viongozi wawepo na walalindwa hasa na hawakai front ili wasiuawe mapema na kukosa wa kuongoza mapambano cas wakiuawa wao basi wanajeshi watakosa wa kuwaongoza na itakua rahisi wapinzani wao kuwashinda kirahisi. That's why hata Samia na viongozi wote sjui TISS, JWTZ,POLICE huwezi waona front but wao ndio.wanaongoza uhalifu.
 
Waingereza wana msemo "TO EVADE A BLOW IS NOT COWARDICE" umeelewa wewe pimbi?
Ww kwenye hayo maandamano ya tarehe 29na 9 ulitoa pua yako kuandamana?
Au hata yanayo tarajiwa kufanyika tarehe 25 utajitokeza au na ww ndo wale wale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…