Ww kwenye hayo maandamano ya tarehe 29 na tarehe 9 kuna maandamano yeyote ambayo ww au ndugu zako mlihudhuria?Unataka kusemaje? kwamba watanzania wote tuogope serikali dhalimu tusifanye lolote tuwaache waendelee kuvunja katiba, kutuharibia nchi kwa kuongeza kodi na kutojari maendeleo ya jamii na kufanya wanavotaka? lazima tupate watu wachache watakaotuongoza njia tusivurugane. Hata jeshi likiwa linaenda vitani laxima viongozi wawepo na walalindwa hasa na hawakai front ili wasiuawe mapema na kukosa wa kuongoza mapambano cas wakiuawa wao basi wanajeshi watakosa wa kuwaongoza na itakua rahisi wapinzani wao kuwashinda kirahisi. That's why hata Samia na viongozi wote sjui TISS, JWTZ,POLICE huwezi waona front but wao ndio.wanaongoza uhalifu.
Ww kwenye hayo maandamano ya tarehe 29na 9 ulitoa pua yako kuandamana?
Au hata yanayo tarajiwa kufanyika tarehe 25 utajitokeza au na ww ndo wale wale.
hili jina la nyumbu limepotea sana hapa JFMaria Sarungi kajificha nje ya nchi hakuna hata kwenye Msiba wa baba yake kwa kuhofia usalama wake ?
Mange Kimambi hawezi kuja Tz hata kwa dawa kwa kuhofia usalama wake punde tu atakapo kanyanga ardhi hii. Sababu ya kulinda usalama wake
Sativa baada ya kutekwa na kupata kipondo hakubaki kupambana na sisi mpaka tone la mwisho kakimbia na hawezi kuja ili kulinda usalama wake
Maswali yangu .
Washaona yaliyotokea October 29 hakuna usalama kwa Waandamanaji Kwa Nini wanatuchochea tutoke wakati wanajua fika polisi hawana huruma ? kwa nini wasitushauri tulinde usalama wetu mazingira sio rafiki kama walivyofanya wao ?
Kama ni ushujaa kufa kupambania nchi kama wanavyowaita waliowawa October 29 ni mashujaa , kwa nini na wao wasiwe mashujaa kufia vitani katika mapambano badala yake wamekimbia kulinda uhai na usalama wao ?
Kama wanasema wakirudi watakamtwa na kuuwawa , je Waandamanaji wakitoka front wanapewa maperege na pilau wale si wakiingia front ni vyuma kufa ,kujeruhiwa au kukamatwa jela ? sasa kwa nini wao wajijali na kutaka sisi tutoke tu bila plan B kimbuzi bila kufikiri ?
Kama wao walipoona Magumu na hawawezi kutoboa wataangamia wakaamua kujiokoa kwa Nini kwetu sisi hawaoni hilo wanatuamrisha tuingie tu kama Nyumbuz ?View attachment 3516307
View attachment 3516306
sio kuhudhulia tu, na tumepoteza 2 men waliouliwa na vikosi vya police, tunamachungu sababu 1 mwili uliondolewa Muhimbili ukafichwa hadi leo. Trust me, evidence tulizonazo huyu Idd Amin Mama hachomoki, na tumeshafile nyingine nyingi ICC na vyombo vya kimataifa, huyu ajuza mchafu muuaji ahesabu siku tu za kukalia hicho kiti, very soon atalia na kusaga meno. Akiepuka sheria, basi tunadeal nayeye personally, and trust me, personally itakua worse than hio ya kisheria.Ww kwenye hayo maandamano ya tarehe 29 na tarehe 9 kuna maandamano yeyote ambayo ww au ndugu zako mlihudhuria?

Maria Sarungi kajificha nje ya nchi hakuna hata kwenye Msiba wa baba yake kwa kuhofia usalama wake ?
Mange Kimambi hawezi kuja Tz hata kwa dawa kwa kuhofia usalama wake punde tu atakapo kanyanga ardhi hii. Sababu ya kulinda usalama wake
Sativa baada ya kutekwa na kupata kipondo hakubaki kupambana na sisi mpaka tone la mwisho kakimbia na hawezi kuja ili kulinda usalama wake
Maswali yangu .
Washaona yaliyotokea October 29 hakuna usalama kwa Waandamanaji Kwa Nini wanatuchochea tutoke wakati wanajua fika polisi hawana huruma ? kwa nini wasitushauri tulinde usalama wetu mazingira sio rafiki kama walivyofanya wao ?
Kama ni ushujaa kufa kupambania nchi kama wanavyowaita waliowawa October 29 ni mashujaa , kwa nini na wao wasiwe mashujaa kufia vitani katika mapambano badala yake wamekimbia kulinda uhai na usalama wao ?
Kama wanasema wakirudi watakamtwa na kuuwawa , je Waandamanaji wakitoka front wanapewa maperege na pilau wale si wakiingia front ni vyuma kufa ,kujeruhiwa au kukamatwa jela ? sasa kwa nini wao wajijali na kutaka sisi tutoke tu bila plan B kimbuzi bila kufikiri ?
Kama wao walipoona Magumu na hawawezi kutoboa wataangamia wakaamua kujiokoa kwa Nini kwetu sisi hawaoni hilo wanatuamrisha tuingie tu kama Nyumbuz ?View attachment 3516307
View attachment 3516306
There is every reason and every circumstance to declare that CCM is not a political party; CCM is a terrorist organization. From now on, the world must place it on the list of terrorist organizations.hawawezi kuzingatia usalama wa malofa wa kifikra hata siku moja
zawadi yao kubwa kwa wahanga wanao wabeba ufala wa kifikra ni kuwaposti mitandaoni wakiwa wameumizwa au ku R.I.P
Watu kama hao hauhitaji kuaelewesha waache na ujinga waoSkiza we kiazi, iko hivi , wanaharakati mfano Mange na Maria ni nguzo kuu ambazo wananchi wanazitumia kupeleka na kupata taarifa muhimu ambazo zibasaidia kufungua fikra za ukombozi. Sababu inayofanya wajifiche/tuwafiche ni ili wasiuawe au kufungwa sababu ukombozi utarudisshwa nyuma kama ilivo sasa walivofungia accounts zao. Kungekua hakuna kutekana,kufungwa kiholela wala kuuawa kiholela hakuna ambae angejifucha.
Unaona walichomfanyia Tundu Lissu? Vipi kuhusu Humphrey Polepole? unadhani kwa nini wanawafanyia haya wanayowafanyia? ni ili wasilence sauti za wananchi na wafiche ujinga wao wote wanaoufanya wa ufisadi na uuzaji wa laslimali bila kuwajibika. Sasa unataks na kina Maria waje ili watekwe? wauawe? au wapotezwe ili tusipate taarifa tena za kuwezesha kukomboa nchi? mknd wako[emoji34]
Sidhani.Maadui wa CCM
Tangu lini MHAINI na waliosababisha watu wakauwawa wawe na nafasi za uongozi nchini...hio HAITOKAA ITOKEE...Karibuni watakuwa na nafasi za juu hawa unaowachukia, Mandela Oliver Tambwe woote waliteswa kama mavofanya,
Mkuu kama ni ivyo nawewe kimbia kama wao,acha kuteletea makelele sisi na hao watu wako,we passport hauna utaenda wapi.Maria Sarungi kajificha nje ya nchi hakuna hata kwenye Msiba wa baba yake kwa kuhofia usalama wake ?
Mange Kimambi hawezi kuja Tz hata kwa dawa kwa kuhofia usalama wake punde tu atakapo kanyanga ardhi hii. Sababu ya kulinda usalama wake
Sativa baada ya kutekwa na kupata kipondo hakubaki kupambana na sisi mpaka tone la mwisho kakimbia na hawezi kuja ili kulinda usalama wake
Maswali yangu .
Washaona yaliyotokea October 29 hakuna usalama kwa Waandamanaji Kwa Nini wanatuchochea tutoke wakati wanajua fika polisi hawana huruma ? kwa nini wasitushauri tulinde usalama wetu mazingira sio rafiki kama walivyofanya wao ?
Kama ni ushujaa kufa kupambania nchi kama wanavyowaita waliowawa October 29 ni mashujaa , kwa nini na wao wasiwe mashujaa kufia vitani katika mapambano badala yake wamekimbia kulinda uhai na usalama wao ?
Kama wanasema wakirudi watakamtwa na kuuwawa , je Waandamanaji wakitoka front wanapewa maperege na pilau wale si wakiingia front ni vyuma kufa ,kujeruhiwa au kukamatwa jela ? sasa kwa nini wao wajijali na kutaka sisi tutoke tu bila plan B kimbuzi bila kufikiri ?
Kama wao walipoona Magumu na hawawezi kutoboa wataangamia wakaamua kujiokoa kwa Nini kwetu sisi hawaoni hilo wanatuamrisha tuingie tu kama Nyumbuz ?View attachment 3516307
View attachment 3516306
Ohoo so kumbe mwenzetu umekata tamaa ya maisha, wengine bado tunakomaa hivyo hivyo haijalishi mazingira magumu na ndio maana sacrifices lazima zitokee njiani!.Nimewahi , nikapata jibu sababu sisi wengi ni wajinga halafu tupo kama wao wengi wetu ni wezi , mafisadi na wadhulumati ila hatujapata vitengo Serikalini.
Nimeshuhudia masikini kwa masikini tunadhulumiana kwenye biashara , pesa au mtu akipata hata kimradi kidogo na nafasi ya kusimamia kazi akipata upenyo kidogo anapiga.
Hii inchi imenichosha kuanzia viongozi wake na watu wake ndio maana nataka niondoke bongo maana naona hakuna kitakachobadilika ni uozo mtupu.
Tumia akili kidogo basi kaka, joja ya kitoto sana hiiMaria Sarungi kajificha nje ya nchi hakuna hata kwenye Msiba wa baba yake kwa kuhofia usalama wake ?
Mange Kimambi hawezi kuja Tz hata kwa dawa kwa kuhofia usalama wake punde tu atakapo kanyanga ardhi hii. Sababu ya kulinda usalama wake
Sativa baada ya kutekwa na kupata kipondo hakubaki kupambana na sisi mpaka tone la mwisho kakimbia na hawezi kuja ili kulinda usalama wake
Maswali yangu .
Washaona yaliyotokea October 29 hakuna usalama kwa Waandamanaji Kwa Nini wanatuchochea tutoke wakati wanajua fika polisi hawana huruma ? kwa nini wasitushauri tulinde usalama wetu mazingira sio rafiki kama walivyofanya wao ?
Kama ni ushujaa kufa kupambania nchi kama wanavyowaita waliowawa October 29 ni mashujaa , kwa nini na wao wasiwe mashujaa kufia vitani katika mapambano badala yake wamekimbia kulinda uhai na usalama wao ?
Kama wanasema wakirudi watakamtwa na kuuwawa , je Waandamanaji wakitoka front wanapewa maperege na pilau wale si wakiingia front ni vyuma kufa ,kujeruhiwa au kukamatwa jela ? sasa kwa nini wao wajijali na kutaka sisi tutoke tu bila plan B kimbuzi bila kufikiri ?
Kama wao walipoona Magumu na hawawezi kutoboa wataangamia wakaamua kujiokoa kwa Nini kwetu sisi hawaoni hilo wanatuamrisha tuingie tu kama Nyumbuz ?View attachment 3516307
View attachment 3516306
Bas endelea kujitoa sadaka ili akina heche na lisu waingie madarakani ili mje muishi paradizo.sio kuhudhulia tu, na tumepoteza 2 men waliouliwa na vikosi vya police, tunamachungu sababu 1 mwili uliondolewa Muhimbili ukafichwa hadi leo. Trust me, evidence tulizonazo huyu Idd Amin Mama hachomoki, na tumeshafile nyingine nyingi ICC na vyombo vya kimataifa, huyu ajuza mchafu muuaji ahesabu siku tu za kukalia hicho kiti, very soon atalia na kusaga meno. Akiepuka sheria, basi tunadeal nayeye personally, and trust me, personally itakua worse than hio ya kisheria.
Mbona unatumia ID feki kama kweli ww ni real warrior au tarehe 29 walipo tangaza lockdouwn mbona na ww ukimbilia ndani badala ya kubaki barabara ukiendekea kufanya huo uporaji mlio kuwa mnaufanya.I am a real warrior and not a " keyboard warrior"! I was there in person!
Tukipaza sauti zetu juu ya jambo hili eti tunaonekana kwamba tunafurahia mauaji ya 29 oct,hivi wanajielewa hawa kweli?Maria Sarungi kajificha nje ya nchi hakuna hata kwenye Msiba wa baba yake kwa kuhofia usalama wake ?
Mange Kimambi hawezi kuja Tz hata kwa dawa kwa kuhofia usalama wake punde tu atakapo kanyanga ardhi hii. Sababu ya kulinda usalama wake
Sativa baada ya kutekwa na kupata kipondo hakubaki kupambana na sisi mpaka tone la mwisho kakimbia na hawezi kuja ili kulinda usalama wake
Maswali yangu .
Washaona yaliyotokea October 29 hakuna usalama kwa Waandamanaji Kwa Nini wanatuchochea tutoke wakati wanajua fika polisi hawana huruma ? kwa nini wasitushauri tulinde usalama wetu mazingira sio rafiki kama walivyofanya wao ?
Kama ni ushujaa kufa kupambania nchi kama wanavyowaita waliowawa October 29 ni mashujaa , kwa nini na wao wasiwe mashujaa kufia vitani katika mapambano badala yake wamekimbia kulinda uhai na usalama wao ?
Kama wanasema wakirudi watakamtwa na kuuwawa , je Waandamanaji wakitoka front wanapewa maperege na pilau wale si wakiingia front ni vyuma kufa ,kujeruhiwa au kukamatwa jela ? sasa kwa nini wao wajijali na kutaka sisi tutoke tu bila plan B kimbuzi bila kufikiri ?
Kama wao walipoona Magumu na hawawezi kutoboa wataangamia wakaamua kujiokoa kwa Nini kwetu sisi hawaoni hilo wanatuamrisha tuingie tu kama Nyumbuz ?View attachment 3516307
View attachment 3516306
Kuna wengine hawakuondoka kwa kukimbia ila turudi kwenye mapambano, vitani si kila askari anakuwa front kwa mfano hatuwezi kuwa tunapigania vita na nchi jirani tuseme wajeda(simaanishi wajeda wa TZ wasengewasenge waliopigwa na M23 mpaka wakavuliwa nguo) walienda vitani hauwezi kulazimisha amiri jeshi mkuu awe front au CDF awe front, kwenye mapambano kila mtu ana nafasi yake ambapo anakuwa more effective. A whistleblower can be anywhere kikubwa kwa alipo aweze kuhamasisha, hata wanaoingia barabarani ukiwapa jukumu la ku-motivate wataona unawapa kazi ngumu sana.Maria Sarungi kajificha nje ya nchi hakuna hata kwenye Msiba wa baba yake kwa kuhofia usalama wake ?
Mange Kimambi hawezi kuja Tz hata kwa dawa kwa kuhofia usalama wake punde tu atakapo kanyanga ardhi hii. Sababu ya kulinda usalama wake
Sativa baada ya kutekwa na kupata kipondo hakubaki kupambana na sisi mpaka tone la mwisho kakimbia na hawezi kuja ili kulinda usalama wake
Maswali yangu .
Washaona yaliyotokea October 29 hakuna usalama kwa Waandamanaji Kwa Nini wanatuchochea tutoke wakati wanajua fika polisi hawana huruma ? kwa nini wasitushauri tulinde usalama wetu mazingira sio rafiki kama walivyofanya wao ?
Kama ni ushujaa kufa kupambania nchi kama wanavyowaita waliowawa October 29 ni mashujaa , kwa nini na wao wasiwe mashujaa kufia vitani katika mapambano badala yake wamekimbia kulinda uhai na usalama wao ?
Kama wanasema wakirudi watakamtwa na kuuwawa , je Waandamanaji wakitoka front wanapewa maperege na pilau wale si wakiingia front ni vyuma kufa ,kujeruhiwa au kukamatwa jela ? sasa kwa nini wao wajijali na kutaka sisi tutoke tu bila plan B kimbuzi bila kufikiri ?
Kama wao walipoona Magumu na hawawezi kutoboa wataangamia wakaamua kujiokoa kwa Nini kwetu sisi hawaoni hilo wanatuamrisha tuingie tu kama Nyumbuz ?View attachment 3516307
View attachment 3516306
Nchi IPO vitani, kama unavyojua vita inapoganwa kwa engo tofauti tofauti. Wengine nje ya nchi, wengine mitandaoni, wengine ndani ya nchi Tena kwa kujificha, na wengine wazi wazi, ili mradi Kila mtu anakuwa anapambana.Maria Sarungi kajificha nje ya nchi hakuna hata kwenye Msiba wa baba yake kwa kuhofia usalama wake ?