Wewe vipi? Ninakwambia nilikuwa front in person halafu unaniambia nilikimbilia ndani!! Hujielewi wewe chawa.Mbona unatumia ID feki kama kweli ww ni real warrior au tarehe 29 walipo tangaza lockdouwn mbona na ww ukimbilia ndani badala ya kubaki barabara ukiendekea kufanya huo uporaji mlio kuwa mnaufanya.
Kwani mauaji kabla ya October 29 mlikuwa mnauawa nyinyi au wanaharakati ndo maana mnaliwa makalio na matapeli wa teuzi kwakuwa akili hamnaMaria Sarungi kajificha nje ya nchi hakuna hata kwenye Msiba wa baba yake kwa kuhofia usalama wake ?
Mange Kimambi hawezi kuja Tz hata kwa dawa kwa kuhofia usalama wake punde tu atakapo kanyanga ardhi hii. Sababu ya kulinda usalama wake
Sativa baada ya kutekwa na kupata kipondo hakubaki kupambana na sisi mpaka tone la mwisho kakimbia na hawezi kuja ili kulinda usalama wake
Maswali yangu .
Washaona yaliyotokea October 29 hakuna usalama kwa Waandamanaji Kwa Nini wanatuchochea tutoke wakati wanajua fika polisi hawana huruma ? kwa nini wasitushauri tulinde usalama wetu mazingira sio rafiki kama walivyofanya wao ?
Kama ni ushujaa kufa kupambania nchi kama wanavyowaita waliowawa October 29 ni mashujaa , kwa nini na wao wasiwe mashujaa kufia vitani katika mapambano badala yake wamekimbia kulinda uhai na usalama wao ?
Kama wanasema wakirudi watakamtwa na kuuwawa , je Waandamanaji wakitoka front wanapewa maperege na pilau wale si wakiingia front ni vyuma kufa ,kujeruhiwa au kukamatwa jela ? sasa kwa nini wao wajijali na kutaka sisi tutoke tu bila plan B kimbuzi bila kufikiri ?
Kama wao walipoona Magumu na hawawezi kutoboa wataangamia wakaamua kujiokoa kwa Nini kwetu sisi hawaoni hilo wanatuamrisha tuingie tu kama Nyumbuz ?View attachment 3516307
View attachment 3516306
Bila kupangwa hivyo nani angetoka nje ilihali anajua fika atakwenda kupigwa chuma?Mimi sijatetea genge lolote wala serikali.
Point yangu ni kama wao wanajua umuhimu wa maisha na usalama wao kwa nini wasitushauri na sisi tulinde usalama wetu tusiende front kama Nyumbuz ?
Mange aliamisha Waandamanaji Kuwa polisi na Jeshi wapo nyuma yao matokeo yake Waandamanaji wakatoka kindezi kwa kujiamini, sasa si Bora angewapanga kabisa kuwa msiende na matumaini hewa ambayo yaliwacost wengi ?
Sababu ya ubinafsi. Ila on top of that tuna katiba mbovu ambayo inaruhusu nepotism ifanyike bila mipaka wala hofu. On top of all that kuna rushwa iliokithiri.Umewahi kujiuliza pia ni kwanini viongozi/watawala wa Tanzania wanajali maisha yao kuliko maisha ya watanzania wanaowatawala?
Sasa kwani mkishauri hao waliojipachika madaraka wasiwapige risasi mtapungukiwa na nini?? kwani hamuoni nchi nyingine watu wakiandama,kwanini iwe haramu Tanzania?? Mnaamini kabisa Samia atamaliza miaka mitano??? Kuna aya ktk surati alrahmani kila kilichoumbwa kitakufa..wauweni na nyinyi mtakufa pia.ITR,
Tupambane na huu ujinga,wao wapo nyuma ya keyboard halafu watoto wa watu watolewe Kafara,hapana si sawa
Hatuwezi wote tukawa nyumbu
ICC ni false hope eeh? na kudeal nae personally labda nideal nae ndotoni eti ee? ok sawa.That's false hope .
ICC ni scums wameshindwa kuwajibisha watu wengi tu haina meno .
Personally labda utadeal nae ndotoni
Niamini mimiMaria Sarungi kajificha nje ya nchi hakuna hata kwenye Msiba wa baba yake kwa kuhofia usalama wake ?
Mange Kimambi hawezi kuja Tz hata kwa dawa kwa kuhofia usalama wake punde tu atakapo kanyanga ardhi hii. Sababu ya kulinda usalama wake
Sativa baada ya kutekwa na kupata kipondo hakubaki kupambana na sisi mpaka tone la mwisho kakimbia na hawezi kuja ili kulinda usalama wake
Maswali yangu .
Washaona yaliyotokea October 29 hakuna usalama kwa Waandamanaji Kwa Nini wanatuchochea tutoke wakati wanajua fika polisi hawana huruma ? kwa nini wasitushauri tulinde usalama wetu mazingira sio rafiki kama walivyofanya wao ?
Kama ni ushujaa kufa kupambania nchi kama wanavyowaita waliowawa October 29 ni mashujaa , kwa nini na wao wasiwe mashujaa kufia vitani katika mapambano badala yake wamekimbia kulinda uhai na usalama wao ?
Kama wanasema wakirudi watakamtwa na kuuwawa , je Waandamanaji wakitoka front wanapewa maperege na pilau wale si wakiingia front ni vyuma kufa ,kujeruhiwa au kukamatwa jela ? sasa kwa nini wao wajijali na kutaka sisi tutoke tu bila plan B kimbuzi bila kufikiri ?
Kama wao walipoona Magumu na hawawezi kutoboa wataangamia wakaamua kujiokoa kwa Nini kwetu sisi hawaoni hilo wanatuamrisha tuingie tu kama Nyumbuz ?View attachment 3516307
View attachment 3516306
Kuhusu kukaa madarakani miaka mitano tena hakuna ajuayeSasa kwani mkishauri hao waliojipachika madaraka wasiwapige risasi mtapungukiwa na nini?? kwani hamuoni nchi nyingine watu wakiandama,kwanini iwe haramu Tanzania?? Mnaamini kabisa Samia atamaliza miaka mitano??? Kuna aya ktk surati alrahmani kila kilichoumbwa kitakufa..wauweni na nyinyi mtakufa pia.
Kidogo umeongea,miaka mitano hakika anaejuwa ni Allah ila kwa hali namna ilivo haihitaji tochi,tuliona kwa Magufuli tena alikuwa akipendwa. dunia kuona sindio hiyo inayolaumu kila kukicha,wakati nyinyi mkitumia nguvu kubwa kumlaumu sijui walionje ya nchi.Kuhusu kukaa madarakani miaka mitano tena hakuna ajuaye
Kuhusu kuwapiga au kutowapia risasi hayo yapo kwa dola,dunia imeona na imeongea
Sisi pangu pakavu tunapigania uhai wa ndugu zatu wasiingie tena na balaa
Hakuna chochote unachoweza kufanya personally mark my wordsICC ni false hope eeh? na kudeal nae personally labda nideal nae ndotoni eti ee? ok sawa.
Sina .Tuoneshe post yako moja tu ukikemea matukio ya Utekaji na Mauaji. Moja tu.
Wamekimbia hawana hojaMkuuu watakuja wafuasi wa Mange kimavi,wana hasira hao nyumbu,je upo tayari kwa hii vita uliyoianzisha?!