Kwanini wanajeshi wanapenda sana kukopa vitu ovyo?

Kwanini wanajeshi wanapenda sana kukopa vitu ovyo?

Pamoja na kupewa pesa tarehe 15....nachingwea huku wananichekeshaga wakipata mshahara basi jua mademu wote wao hupati hata mmoja..wakienda bar hawajuagi kununuliana pombe kila mtu anajinunulia kreti lake...cha ajabu wanapanga Lodge moja unakuta chumba kimoja wanajeshi 6 hawalali hiko chumba ni kwa ajili ya kupokezana kwenda kupiga miti..kuna vitu vinachekesha sana karibu nachingwea Zurich pub,y2k,kidimbwi ujionee vituko vyao...mimi pia ni limbukeni wa pesa ila kwao asee hapana ubabe wanaofanyiwa wasimamizi wa guest sio poa
Wanajeshi wa wapi wanapewa mshahara tarehe 15? Urongooooo
 
Hii imekuwa kero sana baadhi ya wanajeshi wamekuwa wakikopa madukani na hawarudishi vitu na pengine hutumia ubabe wao kutokulipa hata unakuta ukimpeleka polisi ana achiwa tu maana hutumia kazi yao kujiona wakubwa kwa wenzao yaani wanapewa pesa kubwa kila mwezi lakini huishia kwenye pombe na kukopa hovyo sana wanajeshi badilikeni


Utakuwa una jirani mwanajeshi wa hovyo, Kwa wanajeshi niliokutana nao, ni wastaarabu sana. kila Kada inakopa, ila Walimu wanaongoza.
 
Madaktari, wanasheria, Engineers, Land officers, Architects, nurses, Geologists, Walilmu n.k

Hawa wote wanalipa almost double salaries kwa majukumu yao ya Kitaalum then maslahi ya kijeshi
Sasa kwa nini waje kukopa dukani kwangu halafu hawanilipi kwa wakati na hutumia ubabe kunitishia kabisa
 
Si unajua hawa mazoezI mengi na vyakula vizuri hawapigi punyeto kwa hiyo ukijichanganya lazima wakushangaze so wanazaa sana unakuta ana watoto watano hapo lazima ahudumie hawezi kuwakimbia wote na ndo hapo kipengele...pombe na umalaya
Kabisa mimi huwa wanakuja kunikopa hadi pombe hapa dukani kwangu
 
Kabla ya kumkopesha mwanajeshi;Unatakiwa ufahamu namba yake ya utambulisho jeshini na Jina lake kamili(Kitambulisho cha taifa/mpiga kura kinahusika,manake mtaani hamkosi kuitana baba fulani bila kujua Jina halisi),kikosi/kambi aliyopo,halafu unamsainisha kwenye deni lake.

Siku ikitokea anazungusha kulipa usimpeleke polisi bali nenda kwenye kikosi chake,ukutane na wakubwa wake,kule watamuadabisha na utapata haki yako.Jeshi la Wananchi ni moja ya taasisi zenye nidhamu sana kwa ujumla wake 🤔
 
Kabla ya kumkopesha mwanajeshi;Unatakiwa ufahamu namba yake utambulisho,kikosi/kambi aliyopo,halafu unamsainisha kwenye deni lake.Siku ikitokea anazungusha kulipa usimpeleke polisi bali nenda kwenye kikosi chake,ukutane na wakubwa wake,kule watamuadabisha na utapata haki yako.Jeshi ni moja ya taasisi zenye nidhamu sana kwa ujumla wake 🤔
Mimi nilienda paka jeshini kwao lakini wapi wananizungusha tu ooh mvumilie mfanye kama ndugu yako
 
Kabla ya kumkopesha mwanajeshi;Unatakiwa ufahamu namba yake utambulisho,kikosi/kambi aliyopo,halafu unamsainisha kwenye deni lake.Siku ikitokea anazungusha kulipa usimpeleke polisi bali nenda kwenye kikosi chake,ukutane na wakubwa wake,kule watamuadabisha na utapata haki yako.Jeshi ni moja ya taasisi zenye nidhamu sana kwa ujumla wake 🤔
Hili kweli nalikubali kabisa ma MP wako vizuri sana na ndo maana hata kwenye ma bar haleti nyokonyoko akijiona mwenyewe lazima awe na ka tag cha wakubwa hata wawili hapo ndo kidogo anaweza kulewa akaleta utemi
 
Back
Top Bottom