Kwanini wanajeshi wanapenda sana kukopa vitu ovyo?

Wanajeshi wa wapi wanapewa mshahara tarehe 15? Urongooooo
 


Utakuwa una jirani mwanajeshi wa hovyo, Kwa wanajeshi niliokutana nao, ni wastaarabu sana. kila Kada inakopa, ila Walimu wanaongoza.
 
Madaktari, wanasheria, Engineers, Land officers, Architects, nurses, Geologists, Walilmu n.k

Hawa wote wanalipa almost double salaries kwa majukumu yao ya Kitaalum then maslahi ya kijeshi
Sasa kwa nini waje kukopa dukani kwangu halafu hawanilipi kwa wakati na hutumia ubabe kunitishia kabisa
 
Si unajua hawa mazoezI mengi na vyakula vizuri hawapigi punyeto kwa hiyo ukijichanganya lazima wakushangaze so wanazaa sana unakuta ana watoto watano hapo lazima ahudumie hawezi kuwakimbia wote na ndo hapo kipengele...pombe na umalaya
Kabisa mimi huwa wanakuja kunikopa hadi pombe hapa dukani kwangu
 
Kabla ya kumkopesha mwanajeshi;Unatakiwa ufahamu namba yake ya utambulisho jeshini na Jina lake kamili(Kitambulisho cha taifa/mpiga kura kinahusika,manake mtaani hamkosi kuitana baba fulani bila kujua Jina halisi),kikosi/kambi aliyopo,halafu unamsainisha kwenye deni lake.

Siku ikitokea anazungusha kulipa usimpeleke polisi bali nenda kwenye kikosi chake,ukutane na wakubwa wake,kule watamuadabisha na utapata haki yako.Jeshi la Wananchi ni moja ya taasisi zenye nidhamu sana kwa ujumla wake 🤔
 
Mimi nilienda paka jeshini kwao lakini wapi wananizungusha tu ooh mvumilie mfanye kama ndugu yako
 
Hili kweli nalikubali kabisa ma MP wako vizuri sana na ndo maana hata kwenye ma bar haleti nyokonyoko akijiona mwenyewe lazima awe na ka tag cha wakubwa hata wawili hapo ndo kidogo anaweza kulewa akaleta utemi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…