Kwanini wanajeshi wanapenda sana kukopa vitu ovyo?

yani nimesoma comment zenu nimebaki nacheka tu...mnaongea vitu ambavyo hamna hata uhakika navyo bac tu mnajitungia....hakuna mwanajeshi anayelipwa tarehe 15...nyinyi mliozoea kukopesha wanajeshi kopeshen hukohuko mkishndwana mkaja kambini tunaanza na ww uliemkopesha kwanza coz hatukukutuma umkopshe!!...then huo ujinga wa kukopa unafanywa na baadhi ya wanajeshi then mna tujumuisha woooteeeeeeeeee..achen hizo
 
Kambini waje kufanya nini

Ukweli wanajeshi polisi na wavaa uniform wote wanapenda mambo ya dezo dezo tu

Ova
 
Walinzi wa nchi jmn aibu kwa nani
 
Sawa lakini baada ya kuja mgulani mara mbili leo ndo kanilipa pesa yangu cash
 
Achana nao hao. Hata serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania yenyewe inadaiwa isije kuwa sisi.
 
Samahani Mkuu, unaweza kuja PM kunitajia jina au namba ya huyo Mwanajeshi aliyekopa na hakulipa?
 
Mazoezi na vyakula uhakika.kwa hiyo bao linakuja likiwa standard..nina classmates zangu watatu wajeda mmoja ana watoto 5,mwingine wa 4 ,mwingine tena wa 4...wote tumezaliwa BTW 95-96
Duuuh, kumbe we Mdg wangu kwa miaka kadhaa

Nisalimie kaka yako hapa
 
🫡

Umesema yote!
 
Acha uduwanzi na upimbi tabia mbaya za wachache zisikuaminishe kuwa wote tabia zao ziko hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…