GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Majibu yako na nakuomba uyaamini yote kwa 100% na kuanzia hapa Usisumbuke nao tena.....Hii imekuwa kero sana baadhi ya wanajeshi wamekuwa wakikopa madukani na hawarudishi vitu na pengine hutumia ubabe wao kutokulipa hata unakuta ukimpeleka polisi ana achiwa tu maana hutumia kazi yao kujiona wakubwa kwa wenzao yaani wanapewa pesa kubwa kila mwezi lakini huishia kwenye pombe na kukopa hovyo sana wanajeshi badilikeni
1. Washamba
2. Wazinzi
3. Malofa
4. Wana Akili za Kipa Katoka
5. Elimu duni
6. Malezi mabovu
7. Kuiga / Kuigana
Na hapa GENTAMYCINE nimewalenga hawa wa chini ( Non Commissioned Officers tu ) ambao ndiyo wana huu Upopoma ( Upumbavu ) ila wale Commissioned Officers ni Makini, Werevu, Wastaarabu, Wanajitambua na wana Maendeleo na hata Wakikopa bado watafanya Jambo la maana Kimaendeleo na Kiuchumi kwa Familia zao.
Kila la Kheri Mkuu.....!!