Kwanini Wanajeshi wenye Vyeo vya chini ( hasa Vijana) wanapenda sana Kuigana katika Mambo yafuatayo?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Mmoja akinunua Gari aina ya IST basi Wote watanunua, kwa sasa wameshaacha Kununua IST wamehamia katika Gari aina ya Rumio ( Rumion )

Mmoja wao akinunua tu T-shirt au Jeans fulani basi ndani tu ya Siku 3 zijazo utaona Wwnzake wengi nao wananunua na kuanza Kufanana na Kuboa Mitaani na Machoni kama Jezi mpya hizi na mbaya za Klabu ya Yanga.

Mmoja wao tu akipendelea Kununua ama Bia fulani au Wine fulani awapo Baa au Kwingineko tegemea Siku chache zijazo na wengine nao wataiga ( watamuiga )

Mmoja wao tu akianza kupenda kwenda Baa fulani ( Mfano Juliana na Beach Kidimbwi ) na wengine wote watahamia na Kufurika hapo Kunywa japo wengine huwa wanagongea Bia kwa Wana ( Washikaji ) au Wanakopa vile vile.

Mmoja wao tu akipenda Kununua Malaya ( Madanga ) wa Kijiwe fulani basi Kesho yake utawaona na Wengineo wote wanahamia hapo japo huwa Wanakomeshwa mno na Magonjwa ya Gono na Kaswende wanayoyapata hapo lakini hawakomi tu.

Mmoja wao tu akianza tabia ya Kumpiga Mpenzi au Mke wake ( tena hata bila sababu yoyote ya Msingi ) Basi tegemea kuanza Kusikia na wengine nao Wakianza Kuwanyoosha ( Kuwatandika ) Wenzi wao huko.

Kwa sasa nahisi kuna Mmoja wao kama kawaida alianzisha kupenda kupitisha Gari yake Jirani na Mnara wa Tigo uliopo Buza kwa Mpalange kiasi kwamba hivi sasa hawa Wajeda wa Vyeo vya Chini ( Kawaida ) huwaambii Kitu kuhusu kupita hiyo njia ya kwa Mpalange na ukitaka Ugombane nao wazuie wasipite huko.

Naomba kujua hawa wana shida gani?
 
Mleta mada ana dalili za majungu, unafiq,
 
Unaujua wimbo wao wanaimbaga kwenye rootmatch au mchakamchaka

[emoji441][emoji443][emoji449][emoji448]"Hiloo jeshi mambo yao na vitendo vyao sawasawa"[emoji2236]🪕[emoji447]

Maisha yao muda wote wapo kota kwanini wasiigane?
 
Back
Top Bottom