Kwanini Wanajeshi wenye Vyeo vya chini ( hasa Vijana) wanapenda sana Kuigana katika Mambo yafuatayo?

Unaujua wimbo wao wanaimbaga kwenye rootmatch au mchakamchaka

[emoji441][emoji443][emoji449][emoji448]"Hiloo jeshi mambo yao na.vitendo vyao sawasawa"[emoji2236]🪕[emoji447]

Maisha yao muda wote wapo kota kwanini wasiigane?
[emoji445][emoji443]tembea yao sawa sawa,kulala kwao sawa sawa
 
Popoma genta katika kiwango cha juu cha upopoma wako
 

Unatazizo la kufikili...

Ungetambua hawa unaowaongelea ni watu wanaotoka kwenye jamii yetu hii inayotuzunguka usingeandika utumbo..:
Pengine kwenye ukoo wako kuna Askari japo mmoja asa hutaki anunue nguo wakati ndo hizohzo zinazouzwa Tanzania...
IST ni gari inayo hitaji budget ndogo kwaajil ya kuimiliki asa unataka wamiliki crown wakati budget haitoshi..
Acha ushamba.

Unachotakiwa kufahamu ni kwamba wanajeshi ni watu kama watu wengine tofauti ni majukumu tu.
 
Nilionaga polisi wamefanana na ule urefu wako wanne wamenyoa sawa wanatembea pamoja ni vijana kabisa wanavimba na zile suruali zao za kaki kama wanafunzi wa bweni
 
Kama yote wanafanya kwa pesa zao na hawavunji sheria za nchi mi sioni tatizo ni kama vile tu waalimu wanavyo fikiri siku kuu ya wafanyakazi (mei mosi) ni ya kwao peke yao.
Jamani!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama hujawahi ishi nao kambini hata mwezi tu hutawaelewa hao jamaa

Kiufupi ni washamba wa kila idara awe afisa au kuruti

Huko kwenye mapenzi ndio usisema wanalizwa wanawake pamoja na maubabe yao na miguvu yao.

Kuna limoja lilimtongoza demu likakataliwa siku likanikuta na na huyo demu likatishia kunipiga [emoji1][emoji1787]

Anyway kuna ambao wako peace yaani very very peace hawanaga mbwembwe za kijinga

All in all Mara 100 life la soja kuliko mandata,manjagu,mwamwela

Hao jamaa achana nao kabisa acha waendelee kufuga bata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…