Huyu namjua alifariki kwa HIV ,huyu nyoshi elsaadat sasa hivi anausambaza kinoma ingawaje afya yake mgogoro kajamaa kamekonda ila kanaendekeza sana ngono
Yaani sijui wanapenda michubuko ya uso au mkorogo wa kikongoNyoshi anawauwa tu madem washobokaji.
Madem washobokaji na sisi ndio tunaponea kwao.g
Cheni ya maambukizi inazidi kukua tu.
Amakweli huu ugonjwa umekalia pabaya.
Yupo Dubai anauza maunoKuna Mnenguaji mmoja kitambo sana alikuwa kwa Muumini, Queen Suzzy wapi huyu Mkuu..kimya sana.
Kuna dada tulikuwa tunafanya naye kazi walikuwa wamepanga nyumba moja maeneo ya Makumbusho aliniunganisha naye, tulikula naye tungi nikaenda kugonga, usiku mwingi ndom zikaisha nikala dry maana niligonga goli kama zile za Simba alizogongwa na As Vita,nilimpa fifty tu. Nashukuru nimeshapima mara kadhaa baada ya tukio lile niko poa.haya sasa washakupandisha genye na wewe umewawekea kwenye vyupi na hawana mtu siku hilo hapo lazima walane aisee, maana wengi wanawaoogopa wanadhani gharama kubwa aiseee, ila ulikula rahaaa, kama vile nakuona mtoto liliani anavyokutesa kunako wazungu,. acha wazungu wachungulie kinoma. yani , hakika mango na twanga kilikuwa kisiwa ch burudani, sasa ni mapangale kwa kwenda mbele.
Nadhani uliteleza kama nyoka pangoni si kwa mauno yale, ndomu hazikuisha ila mashamsham yalizidi uavua ukaziweka kichogoni ahaaaa we nooma. Mungu alikuonea huruma maana ulikuwa na mahaba sana ya kingono eheeee la aulaaaKuna dada tulikuwa tunafanya naye kazi walikuwa wamepanga nyumba moja maeneo ya Makumbusho aliniunganisha naye, tulikula naye tungi nikaenda kugonga, usiku mwingi ndom zikaisha nikala dry maana niligonga goli kama zile za Simba alizogongwa na As Vita,nilimpa fifty tu. Nashukuru nimeshapima mara kadhaa baada ya tukio lile niko poa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Babu hiyo fiksi aliandika namba saa ngapi wakati anasikilizia mauno!nini kilifatia?
Huyo aligongwa na gari akiwa anaendesha pikipiki usiku akitokea kwenye show. RIP
sina uhakika kama amerudia kazi yake ila ni mke wa mtu(mumewe umri umesogea kidogo)na ana watt watatu bado wadogo wadogo na udada wa mjini kaacha kiukweli mtulivu mno unamkumbuka alivyokuwa anapuliza mibange,ujana kitu kingine kwa kweliDuu..alikuwa mkali kweli enzi zile. ,,now atakuwa kishakuwa MTU mzima,,wa over 35....kwhyo now HANENGUI TENA?
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahaha achana na shetani aiseeBabu hiyo fiksi aliandika namba saa ngapi wakati anasikilizia mauno!
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani hakuna msichana alikuwa anawalaza vibaya wanaume kama Aisha Madinda, akiaanza kucheza pale stageni karibia wanaume wengi mbele panatuna, kijiti kile kimemwonda jamani.
Hawaishindi msondo ngoma kuanzia tx moshi, momba, mbwembwe, maina hadi kubwa lao gurumo wote yale yale mambo yetu
Umenifanya nicheke kwa sauti kubwa ajabu.....bahati nzuri Niko home alone, vinginevyo wangenishangaa...Huyu namjua alifariki kwa HIV ,huyu nyoshi elsaadat sasa hivi anausambaza kinoma ingawaje afya yake mgogoro kajamaa kamekonda ila kanaendekeza sana ngono
Mkuu sio hao tu bali jamii yoyote inayoishi kwa pamoja.....nasikia hata Bungeni ni hivyo hivyo !!
Kweli mkuu,,ila sasa hawa haya MAUNO NA VICHUPI vya STEGINI lazima vikupagawisheMkuu sio hao tu bali jamii yoyote inayoishi kwa pamoja.....nasikia hata Bungeni ni hivyo hivyo !!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana lilian hakucheza kwa mr NiceHao wote wawili kawala walikuwa wacheza shoo wakubwa wa Mr nice .
Sio kinanda mkuu. Jamaa alikuwa anapiga drums hatari alikuwa na rasta flan hivi zile za kutongozea wazungu choka mbaya. Alikuwa ni chalii ya R. Naye alikufa kwa ajali enzi hizo. Kinanda TOT alikuwepo Thabit Abdul Huyu ambaye alikuja kuwa mtunzi na bwanaake Isha Mashauzi(jike la Simba ). Twanga kinanda alikuwa anakamua jamaa mmoja anaitwa profeshenali keybody Victor Mkambi Mwana Sumbawanga. Ni sheeegdaaaGabby Katanga ni marehemu aliwai hata kupiga kinanda chuchu sound
Kweli mkuu niliingia mkenge, Gabii Katanga A.k.A yero masai alikua mpiga drums huyu chalii ya chuganistanian na alifariki kwa ajali. Nashukuru kwa kunikumbusha mkuuSio kinanda mkuu. Jamaa alikuwa anapiga drums hatari alikuwa na rasta flan hivi zile za kutongozea wazungu choka mbaya. Alikuwa ni chalii ya R. Naye alikufa kwa ajali enzi hizo. Kinanda TOT alikuwepo Thabit Abdul Huyu ambaye alikuja kuwa mtunzi na bwanaake Isha Mashauzi(jike la Simba ). Twanga kinanda alikuwa anakamua jamaa mmoja anaitwa profeshenali keybody Victor Mkambi Mwana Sumbawanga. Ni sheeegdaaa