Kwanini wanamziki wa Twanga Pepeta wamepukutika?

Kwanini wanamziki wa Twanga Pepeta wamepukutika?

Huyu namjua alifariki kwa HIV ,huyu nyoshi elsaadat sasa hivi anausambaza kinoma ingawaje afya yake mgogoro kajamaa kamekonda ila kanaendekeza sana ngono

Nyoshi anawauwa tu madem washobokaji.

Madem washobokaji na sisi ndio tunaponea kwao.g

Cheni ya maambukizi inazidi kukua tu.

Amakweli huu ugonjwa umekalia pabaya.
 
y
Nyoshi anawauwa tu madem washobokaji.

Madem washobokaji na sisi ndio tunaponea kwao.g

Cheni ya maambukizi inazidi kukua tu.

Amakweli huu ugonjwa umekalia pabaya.
Yaani sijui wanapenda michubuko ya uso au mkorogo wa kikongo
 
haya sasa washakupandisha genye na wewe umewawekea kwenye vyupi na hawana mtu siku hilo hapo lazima walane aisee, maana wengi wanawaoogopa wanadhani gharama kubwa aiseee, ila ulikula rahaaa, kama vile nakuona mtoto liliani anavyokutesa kunako wazungu,. acha wazungu wachungulie kinoma. yani , hakika mango na twanga kilikuwa kisiwa ch burudani, sasa ni mapangale kwa kwenda mbele.
Kuna dada tulikuwa tunafanya naye kazi walikuwa wamepanga nyumba moja maeneo ya Makumbusho aliniunganisha naye, tulikula naye tungi nikaenda kugonga, usiku mwingi ndom zikaisha nikala dry maana niligonga goli kama zile za Simba alizogongwa na As Vita,nilimpa fifty tu. Nashukuru nimeshapima mara kadhaa baada ya tukio lile niko poa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani uliteleza kama nyoka pangoni si kwa mauno yale, ndomu hazikuisha ila mashamsham yalizidi uavua ukaziweka kichogoni ahaaaa we nooma. Mungu alikuonea huruma maana ulikuwa na mahaba sana ya kingono eheeee la aulaaa
 
Duu..alikuwa mkali kweli enzi zile. ,,now atakuwa kishakuwa MTU mzima,,wa over 35....kwhyo now HANENGUI TENA?

Sent using Jamii Forums mobile app
sina uhakika kama amerudia kazi yake ila ni mke wa mtu(mumewe umri umesogea kidogo)na ana watt watatu bado wadogo wadogo na udada wa mjini kaacha kiukweli mtulivu mno unamkumbuka alivyokuwa anapuliza mibange,ujana kitu kingine kwa kweli
 
Ww uishi karb na vimwana wa manywele uwe salama dozi lzma ui updates .
 
Huyu namjua alifariki kwa HIV ,huyu nyoshi elsaadat sasa hivi anausambaza kinoma ingawaje afya yake mgogoro kajamaa kamekonda ila kanaendekeza sana ngono
Umenifanya nicheke kwa sauti kubwa ajabu.....bahati nzuri Niko home alone, vinginevyo wangenishangaa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gabby Katanga ni marehemu aliwai hata kupiga kinanda chuchu sound
Sio kinanda mkuu. Jamaa alikuwa anapiga drums hatari alikuwa na rasta flan hivi zile za kutongozea wazungu choka mbaya. Alikuwa ni chalii ya R. Naye alikufa kwa ajali enzi hizo. Kinanda TOT alikuwepo Thabit Abdul Huyu ambaye alikuja kuwa mtunzi na bwanaake Isha Mashauzi(jike la Simba ). Twanga kinanda alikuwa anakamua jamaa mmoja anaitwa profeshenali keybody Victor Mkambi Mwana Sumbawanga. Ni sheeegdaaa
 
Kweli mkuu niliingia mkenge, Gabii Katanga A.k.A yero masai alikua mpiga drums huyu chalii ya chuganistanian na alifariki kwa ajali. Nashukuru kwa kunikumbusha mkuu
 
Back
Top Bottom