Kwe
Pia kwenye mwimbo wa kuolewa wa Luiza Nyoni Mbutu kafanya balaa mle
Mule ni balaa, kuna muda wote walipiga kimya ili tumba litawale. Jamaa alizaliwa na tumba lake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwe
Pia kwenye mwimbo wa kuolewa wa Luiza Nyoni Mbutu kafanya balaa mle
Mungu amlaze mahali pema peponi fundi MCD
Siku hizi hata hawana uwanja maalum.
Unaweza kuwafatilia Insta kujua ratiba yao.
Je huyo dada Lilian Internet yupo hai au yuko wapi na anafanya nini siku hizi kama bado yupo hai?Hivi kuna yule mdada LILIAN INTERNET yupo?aisee yule mdada kuna siku nipo pale magomeni annex walikuwa wanapiga. TWANGA PEPETA,,,ikafika muda wa AMSHA AMSHA,,,,nakumbuka rapa wao MSAFIRI DIOF ,,,,alianza na MINGOI,,,MINGOI,,,CAMERA,, CAMERA,,basi muda huo wale warembo WACHEZA SHOO,, wakiongozwa na marehemu AISHA MADINDA,,,walianza kuzunguka ukumbi mzima huku wakitafuta MTU wa kumzungushia NYONGA,,bahati ikaniangukia kwa LILIAN INTERNET,,alikuja akanikalia MAPAJANI,,,HUKU akizungusha NYONGA...kama FENI BOVU,,,,aisee,,,JEGEJE LANGU likikuwa kwenye wakati mgumu sana,,,,ingekuwa mchana ningehadhirika MTU MZIMA,, ,,,,nilikuwa nahisi kabisa WAZUNGU WAPO AIRPORT tayari kushuka,,,,yule mdada alikuwa hatari sana,,,,nilichofanya nilichukuwa KUMI nikafinyanga na namba ya Simu nikamfinyia kwenye CHUPI,,,, sikukubali KUFA KIINGEREZA,,,,kwhyo wakuu hawa WACHEZA SHOW kuwaepuka yataka uwe na ROHO YA CHUMA,,especially kama upo nao KARIBU....hao jamaa WAMEKULANA wao kwa wao..ndy tatizo linaanzia hapo..
Sent using Jamii Forums mobile app
Bila kusahau VIJANA JAZZ:Baba Diana alifariki kwa ajali ya kugongwa na gari akiwa anaendesha pikipiki kama sikosei. Hilo la vifo hata MSONDO limeathiri sana bend wanamuziki wengi wamefariki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa namna nilivyomuona ni wazi kuna shida kwenye Afya yake. Amekuwa mnyonge mno.
Sent using Jamii Forums mobile app
Rukia BrunoNikumbushe jina Yule marehemu make wa Nyoshi El Saadat..
Baba Diana hakufa kwa HIV wala matumizi ya unga ispokuwa ni kwa .ajali ya gari. Hivyo sioni sababu ya yeye kujumuishwa ktk orodha ya mleta uzi maana haiendani na mada anayotaka kuzungumzia.Baba Diiiiiiiii, baba Diana. Hawa jamaa walikuwa hatari sana kwenye burudani.
Baba Diana hakufa kwa HIV wala matumizi ya unga ispokuwa ni kwa .ajali ya gari. Hivyo sioni sababu ya yeye kujumuishwa ktk orodha ya mleta uzi maana haiendani na mada anayotaka kuzungumzia.
Thabit Abdully yupo hai anawachezesha vidole juu upande wa taarab anapiga keyboard pamoja na utunzi.Thanks Mkuu,nashukuru kwa taarifa na pia masahihisho uliyoyafanya ya jina. Nae Thibit Abdul professional Key Board yupo hai au aliacha muziki?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kie Kie Kie Kie, umetisha Mkuu.Thabit Abdully yupo hai anawachezesha vidole juu upande wa taarab anapiga keyboard pamoja na utunzi.
Siyo "Kadie Katanga" ni Gabby kwa maana ya Gabriel. Huyu alifariki kwa ajali ya gari maeneo ya Oysterbay karibu na Mbuyu wa matambiko pale karibu na nyumba za mabalozi akiwa ni mwanamuziki wa Chuchu Sound mwanzoni mwa miaka ya 2000.Yuko wapi Halid Chokoraa? Wapi Diouf,wapi Charles Baba?
Namkumbuka mpiga kinanda wa T.O.T Band Kadie Katanga,ilikua hatari sana. Sijui bado yuko hai au vipi lakini jamaa alikua mkali sana.
Itoshe tu kusema mara baada ya muziki wa dansi ule wa Bendi kama Vijana,Washirika,Bimalee,Tancut Almas,Maquiz, OSS, nk kufa katika soko la muziki wa Dansi zilibaki bendi mbili yaani Msondo na Sikinde. Lakini Bendi za kizazi kipya zikachukua nafasi na walifanya kazi kubwa mno,hiyo ni miaka ya 1999 hadi angalau mwaka 2007. Wanamuziki wafuatao wametoa mchango mkubwa sana katika bendi hizo. Nao ni Banza Stone(R.I.P), Ally Choki,Muumini Mwinyijuma,Roggart Hega,Amina Ngaluma(R.I.P),Hamis Amigolas(R.I.P), Hadija Mnoga, Charles Baba,Nyosh el Saadat,Harid Chokoraa,Bashiru Uhad,Badi Bakule,Luiza Nyoni/Mbutu, Jesca Charles,Msafiri Diouf,Rashid Mwezingo,Pauline Zongo kutaja wachache.
Bendi hizo ni Twanga Pepeta(African Stars), Tam Tam,Muungano Band,FM Academia,T.O.T Band, Akudo Impact,Bambino Sound kutaja chache.
Kwa sasa hata hizo bendi zilizokuja kuchukua nafasi ya Bendi kongwe kama vijana Jazz nazo ndo zinakufa,tatizo sijui ni nini! Twanga wako kimya,T.O.T kimya,FM Academia nao ni kama kimya.
Sent using Jamii Forums mobile app
wana Jamvi,
ni suala la kushangaza sana kwa takribani ya miaka mitatu sasa, tumesikia vifo vingi vya wasanii wa Twanga pepeta. tumekosa sana waburudishaji ambao walizikonga nyoo zetu. Ni njia gani itumie kuwaookoa kwani idadi inatisha. Mlolongo wa vifo umetokana na maradhi ya HIV na Madawa ya kulevya, sijajua kwa nini wanajiingiza uvutaji wa madawa haya. Angalia banza, stone, Diana astoni vila, , halima white, amiglas, baba diana, Aisha madinda, na wengine wengi. labda, mkurugenzi wao awatafutie namna ya kujikinga na vitu hivi, kama kujamiana, pamoja na stress zinazowafanya waingie uvutaji wa madawa. hivi sasa mango kisiwa cha burudani kimekufa , hapo bado kupiga mzikikwa kiingilio cha bia kama walivyo FM Academia.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 mambo yasiwe mengiKie Kie Kie Kie, umetisha Mkuu.
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Huyu alikuwa chakula ya Mr niceJe huyo dada Lilian Internet yupo hai au yuko wapi na anafanya nini siku hizi kama bado yupo hai?
Kama kuna mtu anakipande cha video atuwekee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati flani JF ilikuwa off air kwa wiki kadhaa, hizo zilikuwa siku mbaya sana kwangu![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mambo yasiwe mengi
Aisha madawa na kijiti vimemuondoa 😩😩😩😩Yaani hakuna msichana alikuwa anawalaza vibaya wanaume kama Aisha Madinda, akiaanza kucheza pale stageni karibia wanaume wengi mbele panatuna, kijiti kile kimemwonda jamani.
Haha hah hahaha a pole Sana. Mambo safi tu.Wakati flani JF ilikuwa off air kwa wiki kadhaa, hizo zilikuwa siku mbaya sana kwangu!
Mambo!
Sent using Jamii Forums mobile app