OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Kauli za mama mbovu, et mnakula hadi manavimbiwa ,Kuleni kulingana na urefu wa kambaKila nikijaribu kupitia maoni ya wananchi katika mitandao ya kijamii ni dhahiri wananchi wengi wanaonekana kukosa imani na serikali ya awamu ya sita. Ukiwasoma kwenye mitandao utaona wamekaa kimashaka-mashaka tu hivi. Kila serikali ikisema hivi kuhusu matumizi ya fedha na miradi basi wao wanahisi kuibiwa ibiwa tu.
Hali hii pia ipo katika maisha ya kawaida. Wameweka imani ndogo sana na uongozi wa mama.
Hali hii inachochewa sana na serikali kupinga katiba mpya. Wananchi wanajiuliza kwa nini hawataki katiba mpya,au wanataka wakiiba wasiulizwe?
Eti jamani kwa nini raia wamekataa mkao wa kuibiwa tu?
Binafsi mimi bado namshukuru Mungu kuingilia kati.Kila nikijaribu kupitia maoni ya wananchi katika mitandao ya kijamii ni dhahiri wananchi wengi wanaonekana kukosa imani na serikali ya awamu ya sita. Ukiwasoma kwenye mitandao utaona wamekaa kimashaka-mashaka tu hivi. Kila serikali ikisema hivi kuhusu matumizi ya fedha na miradi basi wao wanahisi kuibiwa ibiwa tu.
Hali hii pia ipo katika maisha ya kawaida. Wameweka imani ndogo sana na uongozi wa mama.
Hali hii inachochewa sana na serikali kupinga katiba mpya. Wananchi wanajiuliza kwa nini hawataki katiba mpya,au wanataka wakiiba wasiulizwe?
Eti jamani kwa nini raia wamekataa mkao wa kuibiwa tu?
Kwani ukimwaadress huyu mama utapungukiwa na nini?Wewe unaona sawa utawala wa huu?
sasa kwanini anaogopa katiba mpya , ambayo ndio itakayoweka msingi wa haki na utawala bora ?Binafsi mimi bado namshukuru Mungu kuingilia kati.
Nitakuwa namkufuru Mungu nikianza ulalamishi sasa hivi, dhamira ya mama inaonekana kwa macho wala huitaji propaganda kujuwa ana utu.
Kumuita mwanamke mama ni heshima kubwa sana..so sio kila mwanamke anastahili heshima hiyo.Kwani ukimwaadress huyu mama utapungukiwa na nini?
Utakuta jinga kama wewe mke wako unamuita mama.
Usilitaje bure jina la BwanaBinafsi mimi bado namshukuru Mungu kuingilia kati.
Nitakuwa namkufuru Mungu nikianza ulalamishi sasa hivi, dhamira ya mama inaonekana kwa macho wala huitaji propaganda kujuwa ana utu.
Mara nyingi TEUZI ndio huwapa watu Tumaini au Huwavunja moyoKila nikijaribu kupitia maoni ya wananchi katika mitandao ya kijamii ni dhahiri wananchi wengi wanaonekana kukosa imani na serikali ya awamu ya sita. Ukiwasoma kwenye mitandao utaona wamekaa kimashaka-mashaka tu hivi. Kila serikali ikisema hivi kuhusu matumizi ya fedha na miradi basi wao wanahisi kuibiwa ibiwa tu.
Hali hii pia ipo katika maisha ya kawaida. Wameweka imani ndogo sana na uongozi wa mama.
Hali hii inachochewa sana na serikali kupinga katiba mpya. Wananchi wanajiuliza kwa nini hawataki katiba mpya,au wanataka wakiiba wasiulizwe?
Eti jamani kwa nini raia wamekataa mkao wa kuibiwa tu?
Mbona Magufuli alipokuwa hai wote mliufyata?sasa kwanini anaogopa katiba mpya , ambayo ndio itakayoweka msingi wa haki na utawala bora ?
Achana na propaganda ndugu. Magufuli hakuwa SI unit ya nchi kuhusu nani anafaa au hafai. Walioshika nafasi hizo ni watanzania na wana haki hiyo. Mengineyo ni porojo tu.Picha linaanza..wale waliotumbuliwa kipindi cha magu kwa kuonekana hawafai na hawana weredi..wote wamerudishwa mzigoni..pia yule mtoto wa kubwa ambaye alisifika sana kwa dili na kuuza nchi yupo mzigoni.
Serikali kutwa kutembeza bakuli..wakuambiwa wasitembeze bakuli wanakuNdugai.
Kingine porojo nyingi sana..kila kukicha hasa upande wa wizara ya mwezi wa kwanza.
Hali ya maisha haishikiki hali si swali..ila serikali inakuja na propaganda na vichaka vya kujificha ambavyo ni kovidi na vita vya urusi.
#MaendeleoHayanaChama
Wanasiasa kuweni WAWAZI.sasa kwanini anaogopa katiba mpya , ambayo ndio itakayoweka msingi wa haki na utawala bora ?
Bro wewe utakua "age go Sana"... Mama Samia ni dada kwako?Wewe unaona sawa utawala wa huyu dada?
Tatizo la wajinga kama nyinyi ni kudhani Samia anaweza kuwa mama wa kila mtu, huyo ni DADA kwangu.Kwani ukimwaadress huyu mama utapungukiwa na nini?
Utakuta jinga kama wewe mke wako unamuita mama.
Binafsi mimi bado namshukuru Mungu kuingilia kati
Nitakuwa namkufuru Mungu nikianza ulalamishi sasa hivi, dhamira ya mama inaonekana kwa macho wala huitaji propaganda kujuwa ana utu.