π€£ π€£ π€£Ni washenzi wachumia tumbo hawana faida yoyote kwa nchi hii
Wasubiri kunyolewa kwa chupa au kioo tena bila maji mwakani
Hata sidhani kama wanajua kuwa wamepata ajali
Kinajua ajali imesababishwa na Mbowe
Ni walewale tu hana jipya
Hukumu yao inakuja, hiyo ilikuwa ni dibaji tu,
Anayepitisha majina
Nayo italipwa sambamba na matendo yake
Wafe tu, we wamekusaidia nn kwenye maisha yako?View attachment 3170961
Baada ya kusoma maoni ya baadhi ya wenzetu humu ilipotangazwa ajali ya gari iliyowahusisha wabunge, nimepigwa butwaa na kuibua maswali.
Mosi, kwanini wabunge wanachukiwa hivi?
Pili, wafanye nini hii chuki iondoke?
Tatu, wamepokeaje, kama wamepokea mwitikio huu?
Nne, chama chao nacho kinasemaje?
Tano, spika ambaye wengi wameonyesha kumuombea yasikuwa mazuri anajitafakarije kwa hali hii?
Sita, jibu ni kuwachukia au kuhakikisha hawarejei uchaguzi ujao?
Saba, tatizo ni wabunge au wapiga kura wanaohongwa udohoudoho?
Nane, tatizo ni tume mbovu ya uchaguzi inayochakachua uchaguzi?
Naomba kuwasilisha
Kiongozi tuwe tunasoma post za watu kwa makini.Sasa haya unayo sema yatabadilishwa kupitia kuwachukia?Tufike magali tuache ujinga
View attachment 3170961
Baada ya kusoma maoni ya baadhi ya wenzetu humu ilipotangazwa ajali ya gari iliyowahusisha wabunge, nimepigwa butwaa na kuibua maswali.
Mosi, kwanini wabunge wanachukiwa hivi?
Pili, wafanye nini hii chuki iondoke?
Tatu, wamepokeaje, kama wamepokea mwitikio huu?
Nne, chama chao nacho kinasemaje?
Tano, spika ambaye wengi wameonyesha kumuombea yasikuwa mazuri anajitafakarije kwa hali hii?
Sita, jibu ni kuwachukia au kuhakikisha hawarejei uchaguzi ujao?
Saba, tatizo ni wabunge au wapiga kura wanaohongwa udohoudoho?
Nane, tatizo ni tume mbovu ya uchaguzi inayochakachua uchaguzi?
Naomba kuwasilisha
Usipende kuhalalisha Mambo yako kwa hisia zako. Umeenda kwenye mitandao mingine ukakuta hali ni tofauti??
COMMENTS ZA WANANCHI KTK MITANDAO BAADA YA WABUNGE KUPATA AJARI:
1. TBC waliochangia mpaka sasa ni 539, kati yao 506 wamewatakia kifo na 33 wametoa pole
2. AZAM TV waliochangia hadi sasa ni 161, kati yao 157 wamewatakia wabunge kifo na 4 wametoa pole
3. KITENGE, waliochangia hadi sasa ni 77, wote wamewatakia kifo wabunge.
4. EATV, waliochangia 36, 1 ameonyesha huruma na 35 wamewatakia wabunge kifo.
Hii nimeikuta mahali. Je hao nao ni wana JF??
Tumia akili japo kidogo. Nimekuwa specific kuwa ni baadhi ya wana JF. Najua kufanya utafiti na ni mtafiti siyo wa kuungaunga mwanangu hata kama nimezeeka.
Wa kutumia akili ni Wewe Sio Mimi, Ajali haijatokea JF humu, why umea-adress JF tu?? Una lako jambo wewe. Najua
Duh π !POLISI wa CCM
Sema Machadema usiwasingizie Wananchi.View attachment 3170961
Baada ya kusoma maoni ya baadhi ya wenzetu humu ilipotangazwa ajali ya gari iliyowahusisha wabunge, nimepigwa butwaa na kuibua maswali.
Mosi, kwanini wabunge wanachukiwa hivi?
Pili, wafanye nini hii chuki iondoke?
Tatu, wamepokeaje, kama wamepokea mwitikio huu?
Nne, chama chao nacho kinasemaje?
Tano, spika ambaye wengi wameonyesha kumuombea yasikuwa mazuri anajitafakarije kwa hali hii?
Sita, jibu ni kuwachukia au kuhakikisha hawarejei uchaguzi ujao?
Saba, tatizo ni wabunge au wapiga kura wanaohongwa udohoudoho?
Nane, tatizo ni tume mbovu ya uchaguzi inayochakachua uchaguzi?
Naomba kuwasilisha
Za JF ngapi tuongeze na yangu.Usipende kuhalalisha Mambo yako kwa hisia zako. Umeenda kwenye mitandao mingine ukakuta hali ni tofauti??
COMMENTS ZA WANANCHI KTK MITANDAO BAADA YA WABUNGE KUPATA AJARI:
1. TBC waliochangia mpaka sasa ni 539, kati yao 506 wamewatakia kifo na 33 wametoa pole
2. AZAM TV waliochangia hadi sasa ni 161, kati yao 157 wamewatakia wabunge kifo na 4 wametoa pole
3. KITENGE, waliochangia hadi sasa ni 77, wote wamewatakia kifo wabunge.
4. EATV, waliochangia 36, 1 ameonyesha huruma na 35 wamewatakia wabunge kifo.
Hii nimeikuta mahali. Je hao nao ni wana JF??
Iyo fight unayozungumzia unafikiri itaanza hv hv bila kuwepo chuki. Inaanza chuki ndo zinakuja action kama hili tukio la TRA kushambuliwa. Raia wameanza kuwachukia watekaji, na mwisho ndo ikaja action ya kuwa fight hao watekaji.Kuwachukia ni ujinga na inaonekana tulivyo wajinga, na hakuna changes ilio wahi letwa kwa kichukia watu. Kikichopo ni kuwa fight na sio kuwachukia
Ww ambaye sio mjinga umefanya nn mpaka sahv kudeal na hao wabunge?Sasa haya unayo sema yatabadilishwa kupitia kuwachukia?Tufike magali tuache ujinga
Iko wazi bila katiba mpya. Hakutokuwa na uchaguzi wenye demokrasia, bali ubakaji wa demokrasia.Sema Machadema usiwasingizie Wananchi.
Kama unadhani uko sahihi subiria uchaguzi 2025 ndio Utajua wanawachukia au Machadema mnajilisha upepo.
Jitoeni au subirieni mkishinda ndio muweke Katiba Mpya ππIko wazi bila katiba mpya. Hakutokuwa na uchaguzi wenye demokrasia, bali ubakaji wa demokrasia.
Nyie ndo mnapapalika, nyie misisiem mna sera gani za kuwauzia wananchi zaid ya wizi wa kura, ivi kama mnajiamini kushindana kidemokrasia kwann mnakataa kuweka tume huru ya uchaguzi?Jitoeni au subirieni mkishinda ndio muweke Katiba Mpya ππ
Machadomo mnapapalika na vitu vya kijinga badala ya kuuza sera
Thme huru Iko tayari kitambo ,pili Timu zikiingua uwanjani Huwa zinatarajia Kushindwa?Nyie ndo mnapapalika, nyie misisiem mna sera gani za kuwauzia wananchi zaid ya wizi wa kura, ivi kama mnajiamini kushindana kidemokrasia kwann mnakataa kuweka tume huru ya uchaguzi?
Hatuwezi kuwapenda wabunge wa hovyo badala ya kuwa watetezi wa wananchi wamegeuka kuwa watetezi wa serikali na kupitisha sheria zinazo ilinda serikali na mafisadi na wahujumu na wabadhirifu wa mali za umma na kupitisha sheria za kukandamiza,kutesa na kuhalalisha utekaji wananchi,Usipende kuhalalisha Mambo yako kwa hisia zako. Umeenda kwenye mitandao mingine ukakuta hali ni tofauti??
COMMENTS ZA WANANCHI KTK MITANDAO BAADA YA WABUNGE KUPATA AJARI:
1. TBC waliochangia mpaka sasa ni 539, kati yao 506 wamewatakia kifo na 33 wametoa pole
2. AZAM TV waliochangia hadi sasa ni 161, kati yao 157 wamewatakia wabunge kifo na 4 wametoa pole
3. KITENGE, waliochangia hadi sasa ni 77, wote wamewatakia kifo wabunge.
4. EATV, waliochangia 36, 1 ameonyesha huruma na 35 wamewatakia wabunge kifo.
Hii nimeikuta mahali. Je hao nao ni wana JF??
Jibu ni dhahiri.Wabunge wamegeuka kuwa maadui wa wananchi. Fikiria hawa ndiyo waliotumika kuhalalisha ule uporaji wa bandarini. Hawa ndio waliopitisha ile sheria ya hovyo kabisa ya kuruhusuTISS kuteka na kuua watu, na wasihojiwe na chombo chochote. Hawa wabhnge na yule spika wao shetani ndio waliosema hakuma utekaji wa watu. Ina maana wanaotekwa siyo binadamu. Ni lini mbuzi akampenda fisi? Hata kama mbuzi hana uwezo wa kumwua fisi, lakini akisikia fisi katumbukia shimoni, bila shaka atafurahi.View attachment 3170961
Baada ya kusoma maoni ya baadhi ya wenzetu humu ilipotangazwa ajali ya gari iliyowahusisha wabunge, nimepigwa butwaa na kuibua maswali.
Mosi, kwanini wabunge wanachukiwa hivi?
Pili, wafanye nini hii chuki iondoke?
Tatu, wamepokeaje, kama wamepokea mwitikio huu?
Nne, chama chao nacho kinasemaje?
Tano, spika ambaye wengi wameonyesha kumuombea yasikuwa mazuri anajitafakarije kwa hali hii?
Sita, jibu ni kuwachukia au kuhakikisha hawarejei uchaguzi ujao?
Saba, tatizo ni wabunge au wapiga kura wanaohongwa udohoudoho?
Nane, tatizo ni tume mbovu ya uchaguzi inayochakachua uchaguzi?
Naomba kuwasilisha
Mkuu siyo wana JF pekee wameonyesha chuki kwa wabunge bali wananchi walio wengi sana wameonyesha chuki ya kiwango cha juu sana kwa wabunge na CCM mimi nikiwa mmoja wao. Matendo ya hovyo yaliyofanyika siku za karibuni hasa utekaji na mauaji ya wapinzani na wakosoaji wa serikali yamechangia kwa asilimia kubwa chuki hii. Kusema kweli Tanganyika hapa ilipofikishwa na utawala wa awamu ya sita iko kama bwawa la petrol, inahitajika cheche moja tu kuilipua, na wa kulaumiwa ni Samia na watu wake. Chuki hii ni alert kwa yajayo ambayo hayatafurahisha. Tukio la juzi la kushambuliwa kwa wafanyakazi wa TRA ni alert nyingine kwa utawala huu.View attachment 3170961
Baada ya kusoma maoni ya baadhi ya wenzetu humu ilipotangazwa ajali ya gari iliyowahusisha wabunge, nimepigwa butwaa na kuibua maswali.
Mosi, kwanini wabunge wanachukiwa hivi?
Pili, wafanye nini hii chuki iondoke?
Tatu, wamepokeaje, kama wamepokea mwitikio huu?
Nne, chama chao nacho kinasemaje?
Tano, spika ambaye wengi wameonyesha kumuombea yasikuwa mazuri anajitafakarije kwa hali hii?
Sita, jibu ni kuwachukia au kuhakikisha hawarejei uchaguzi ujao?
Saba, tatizo ni wabunge au wapiga kura wanaohongwa udohoudoho?
Nane, tatizo ni tume mbovu ya uchaguzi inayochakachua uchaguzi?
Naomba kuwasilisha
Wewe unawapenda?! Utakuwa huna akili kama unaweza mpenda mtu kama ndugai au tulia aksonView attachment 3170961
Baada ya kusoma maoni ya baadhi ya wenzetu humu ilipotangazwa ajali ya gari iliyowahusisha wabunge, nimepigwa butwaa na kuibua maswali.
Mosi, kwanini wabunge wanachukiwa hivi?
Pili, wafanye nini hii chuki iondoke?
Tatu, wamepokeaje, kama wamepokea mwitikio huu?
Nne, chama chao nacho kinasemaje?
Tano, spika ambaye wengi wameonyesha kumuombea yasikuwa mazuri anajitafakarije kwa hali hii?
Sita, jibu ni kuwachukia au kuhakikisha hawarejei uchaguzi ujao?
Saba, tatizo ni wabunge au wapiga kura wanaohongwa udohoudoho?
Nane, tatizo ni tume mbovu ya uchaguzi inayochakachua uchaguzi?
Naomba kuwasilisha
Huna unachojua, punguza uchawa. Iyo tume huru umeiunda ww?Thme huru Iko tayari kitambo ,pili Timu zikiingua uwanjani Huwa zinatarajia Kushindwa?
Kama wewe unakijua shinda uchaguzi sasaHuna unachojua, punguza uchawa. Iyo tume huru umeiunda ww?