Kwanini wananchi wengi wanawachukia wabunge hivi?

Ni washenzi wachumia tumbo hawana faida yoyote kwa nchi hii

Wasubiri kunyolewa kwa chupa au kioo tena bila maji mwakani

Hata sidhani kama wanajua kuwa wamepata ajali

Kinajua ajali imesababishwa na Mbowe

Ni walewale tu hana jipya

Hukumu yao inakuja, hiyo ilikuwa ni dibaji tu,

Anayepitisha majina

Nayo italipwa sambamba na matendo yake
🤣 🤣 🤣
 
View attachment 3170961
Baada ya kusoma maoni ya baadhi ya wenzetu humu ilipotangazwa ajali ya gari iliyowahusisha wabunge, nimepigwa butwaa na kuibua maswali.

Mosi, kwanini wabunge wanachukiwa hivi?

Pili, wafanye nini hii chuki iondoke?

Tatu, wamepokeaje, kama wamepokea mwitikio huu?

Nne, chama chao nacho kinasemaje?

Tano, spika ambaye wengi wameonyesha kumuombea yasikuwa mazuri anajitafakarije kwa hali hii?

Sita, jibu ni kuwachukia au kuhakikisha hawarejei uchaguzi ujao?

Saba, tatizo ni wabunge au wapiga kura wanaohongwa udohoudoho?

Nane, tatizo ni tume mbovu ya uchaguzi inayochakachua uchaguzi?

Naomba kuwasilisha
Wafe tu, we wamekusaidia nn kwenye maisha yako?
 
Sasa haya unayo sema yatabadilishwa kupitia kuwachukia?Tufike magali tuache ujinga
Kiongozi tuwe tunasoma post za watu kwa makini.

Kuna mahala popote kwenye post zangu nimeandika kuwachukia wabunge.

Hebu soma posts za watu kabla ya kuwawekea maneno.

If anything muda wote nimekuwa nikiwatetea na kuwatakia healthy recovery wahanga (that’s just natural, to, me).

Hayo mambo ya kulisha watu maneno waachie UVCCM wenye kupigania mlo.

Się tunatafutwa na watu wazito kwenye hiyo nchi turudi (uwezo wetu hauna mashaka tena kwao). And that’s not gonna happen.

Muulize mtu kama Mwigulu atakwambia anaewajua wenye chama na jitihada zao za kutupata atakueleza wanatakiwa muda mrefu, sema hawataki kutokea.

Usipoteze muda wako, sisi tuko salama tulipo.

Baada ya hapo wamekuja vigogo waziti zaidi m kutafuta watu turudi. You actually think nina shida za nafasi, ni uzalendo tu.
 
View attachment 3170961
Baada ya kusoma maoni ya baadhi ya wenzetu humu ilipotangazwa ajali ya gari iliyowahusisha wabunge, nimepigwa butwaa na kuibua maswali.

Mosi, kwanini wabunge wanachukiwa hivi?

Pili, wafanye nini hii chuki iondoke?

Tatu, wamepokeaje, kama wamepokea mwitikio huu?

Nne, chama chao nacho kinasemaje?

Tano, spika ambaye wengi wameonyesha kumuombea yasikuwa mazuri anajitafakarije kwa hali hii?

Sita, jibu ni kuwachukia au kuhakikisha hawarejei uchaguzi ujao?

Saba, tatizo ni wabunge au wapiga kura wanaohongwa udohoudoho?

Nane, tatizo ni tume mbovu ya uchaguzi inayochakachua uchaguzi?

Naomba kuwasilisha
Usipende kuhalalisha Mambo yako kwa hisia zako. Umeenda kwenye mitandao mingine ukakuta hali ni tofauti??

COMMENTS ZA WANANCHI KTK MITANDAO BAADA YA WABUNGE KUPATA AJARI:

1. TBC waliochangia mpaka sasa ni 539, kati yao 506 wamewatakia kifo na 33 wametoa pole
2. AZAM TV waliochangia hadi sasa ni 161, kati yao 157 wamewatakia wabunge kifo na 4 wametoa pole
3. KITENGE, waliochangia hadi sasa ni 77, wote wamewatakia kifo wabunge.
4. EATV, waliochangia 36, 1 ameonyesha huruma na 35 wamewatakia wabunge kifo.
Hii nimeikuta mahali. Je hao nao ni wana JF??
Tumia akili japo kidogo. Nimekuwa specific kuwa ni baadhi ya wana JF. Najua kufanya utafiti na ni mtafiti siyo wa kuungaunga mwanangu hata kama nimezeeka.
Wa kutumia akili ni Wewe Sio Mimi, Ajali haijatokea JF humu, why umea-adress JF tu?? Una lako jambo wewe. Najua

Dunia ina siri nyingi sana. Akyamungu tena mpaka sasa sijaelewa mnacho gombania ni kipi!
 
View attachment 3170961
Baada ya kusoma maoni ya baadhi ya wenzetu humu ilipotangazwa ajali ya gari iliyowahusisha wabunge, nimepigwa butwaa na kuibua maswali.

Mosi, kwanini wabunge wanachukiwa hivi?

Pili, wafanye nini hii chuki iondoke?

Tatu, wamepokeaje, kama wamepokea mwitikio huu?

Nne, chama chao nacho kinasemaje?

Tano, spika ambaye wengi wameonyesha kumuombea yasikuwa mazuri anajitafakarije kwa hali hii?

Sita, jibu ni kuwachukia au kuhakikisha hawarejei uchaguzi ujao?

Saba, tatizo ni wabunge au wapiga kura wanaohongwa udohoudoho?

Nane, tatizo ni tume mbovu ya uchaguzi inayochakachua uchaguzi?

Naomba kuwasilisha
Sema Machadema usiwasingizie Wananchi.

Kama unadhani uko sahihi subiria uchaguzi 2025 ndio Utajua wanawachukia au Machadema mnajilisha upepo.
 
Usipende kuhalalisha Mambo yako kwa hisia zako. Umeenda kwenye mitandao mingine ukakuta hali ni tofauti??

COMMENTS ZA WANANCHI KTK MITANDAO BAADA YA WABUNGE KUPATA AJARI:

1. TBC waliochangia mpaka sasa ni 539, kati yao 506 wamewatakia kifo na 33 wametoa pole
2. AZAM TV waliochangia hadi sasa ni 161, kati yao 157 wamewatakia wabunge kifo na 4 wametoa pole
3. KITENGE, waliochangia hadi sasa ni 77, wote wamewatakia kifo wabunge.
4. EATV, waliochangia 36, 1 ameonyesha huruma na 35 wamewatakia wabunge kifo.
Hii nimeikuta mahali. Je hao nao ni wana JF??
Za JF ngapi tuongeze na yangu.
 
Kuwachukia ni ujinga na inaonekana tulivyo wajinga, na hakuna changes ilio wahi letwa kwa kichukia watu. Kikichopo ni kuwa fight na sio kuwachukia
Iyo fight unayozungumzia unafikiri itaanza hv hv bila kuwepo chuki. Inaanza chuki ndo zinakuja action kama hili tukio la TRA kushambuliwa. Raia wameanza kuwachukia watekaji, na mwisho ndo ikaja action ya kuwa fight hao watekaji.
 
Sema Machadema usiwasingizie Wananchi.

Kama unadhani uko sahihi subiria uchaguzi 2025 ndio Utajua wanawachukia au Machadema mnajilisha upepo.
Iko wazi bila katiba mpya. Hakutokuwa na uchaguzi wenye demokrasia, bali ubakaji wa demokrasia.
 
Jitoeni au subirieni mkishinda ndio muweke Katiba Mpya 😂😂

Machadomo mnapapalika na vitu vya kijinga badala ya kuuza sera
 
Nyie ndo mnapapalika, nyie misisiem mna sera gani za kuwauzia wananchi zaid ya wizi wa kura, ivi kama mnajiamini kushindana kidemokrasia kwann mnakataa kuweka tume huru ya uchaguzi?
 
Thme huru Iko tayari kitambo ,pili Timu zikiingua uwanjani Huwa zinatarajia Kushindwa?
 
Usipende kuhalalisha Mambo yako kwa hisia zako. Umeenda kwenye mitandao mingine ukakuta hali ni tofauti??

COMMENTS ZA WANANCHI KTK MITANDAO BAADA YA WABUNGE KUPATA AJARI:

1. TBC waliochangia mpaka sasa ni 539, kati yao 506 wamewatakia kifo na 33 wametoa pole
2. AZAM TV waliochangia hadi sasa ni 161, kati yao 157 wamewatakia wabunge kifo na 4 wametoa pole
3. KITENGE, waliochangia hadi sasa ni 77, wote wamewatakia kifo wabunge.
4. EATV, waliochangia 36, 1 ameonyesha huruma na 35 wamewatakia wabunge kifo.
Hii nimeikuta mahali. Je hao nao ni wana JF??
Hatuwezi kuwapenda wabunge wa hovyo badala ya kuwa watetezi wa wananchi wamegeuka kuwa watetezi wa serikali na kupitisha sheria zinazo ilinda serikali na mafisadi na wahujumu na wabadhirifu wa mali za umma na kupitisha sheria za kukandamiza,kutesa na kuhalalisha utekaji wananchi,

hakuna mtu mwenye akili timamu kabisa atakaye waombea hao mbweha wapone , tena mimi nilipenda yafe yote abaki dereva tuu manina zao , hao ndio walio fikisha hili taifa hapa ,dereva kafanya usenge sana kuyaacha hayo ma mbweha hai katukosea sana wananchi ,hayo yalitakiwa yaelekezewe kuzimu yote kabisa basi zima mamaae,.
 
View attachment 3170961
Baada ya kusoma maoni ya baadhi ya wenzetu humu ilipotangazwa ajali ya gari iliyowahusisha wabunge, nimepigwa butwaa na kuibua maswali.

Mosi, kwanini wabunge wanachukiwa hivi?

Pili, wafanye nini hii chuki iondoke?

Tatu, wamepokeaje, kama wamepokea mwitikio huu?

Nne, chama chao nacho kinasemaje?

Tano, spika ambaye wengi wameonyesha kumuombea yasikuwa mazuri anajitafakarije kwa hali hii?

Sita, jibu ni kuwachukia au kuhakikisha hawarejei uchaguzi ujao?

Saba, tatizo ni wabunge au wapiga kura wanaohongwa udohoudoho?

Nane, tatizo ni tume mbovu ya uchaguzi inayochakachua uchaguzi?

Naomba kuwasilisha
Jibu ni dhahiri.Wabunge wamegeuka kuwa maadui wa wananchi. Fikiria hawa ndiyo waliotumika kuhalalisha ule uporaji wa bandarini. Hawa ndio waliopitisha ile sheria ya hovyo kabisa ya kuruhusuTISS kuteka na kuua watu, na wasihojiwe na chombo chochote. Hawa wabhnge na yule spika wao shetani ndio waliosema hakuma utekaji wa watu. Ina maana wanaotekwa siyo binadamu. Ni lini mbuzi akampenda fisi? Hata kama mbuzi hana uwezo wa kumwua fisi, lakini akisikia fisi katumbukia shimoni, bila shaka atafurahi.
 
View attachment 3170961
Baada ya kusoma maoni ya baadhi ya wenzetu humu ilipotangazwa ajali ya gari iliyowahusisha wabunge, nimepigwa butwaa na kuibua maswali.

Mosi, kwanini wabunge wanachukiwa hivi?

Pili, wafanye nini hii chuki iondoke?

Tatu, wamepokeaje, kama wamepokea mwitikio huu?

Nne, chama chao nacho kinasemaje?

Tano, spika ambaye wengi wameonyesha kumuombea yasikuwa mazuri anajitafakarije kwa hali hii?

Sita, jibu ni kuwachukia au kuhakikisha hawarejei uchaguzi ujao?

Saba, tatizo ni wabunge au wapiga kura wanaohongwa udohoudoho?

Nane, tatizo ni tume mbovu ya uchaguzi inayochakachua uchaguzi?

Naomba kuwasilisha
Mkuu siyo wana JF pekee wameonyesha chuki kwa wabunge bali wananchi walio wengi sana wameonyesha chuki ya kiwango cha juu sana kwa wabunge na CCM mimi nikiwa mmoja wao. Matendo ya hovyo yaliyofanyika siku za karibuni hasa utekaji na mauaji ya wapinzani na wakosoaji wa serikali yamechangia kwa asilimia kubwa chuki hii. Kusema kweli Tanganyika hapa ilipofikishwa na utawala wa awamu ya sita iko kama bwawa la petrol, inahitajika cheche moja tu kuilipua, na wa kulaumiwa ni Samia na watu wake. Chuki hii ni alert kwa yajayo ambayo hayatafurahisha. Tukio la juzi la kushambuliwa kwa wafanyakazi wa TRA ni alert nyingine kwa utawala huu.
 
View attachment 3170961
Baada ya kusoma maoni ya baadhi ya wenzetu humu ilipotangazwa ajali ya gari iliyowahusisha wabunge, nimepigwa butwaa na kuibua maswali.

Mosi, kwanini wabunge wanachukiwa hivi?

Pili, wafanye nini hii chuki iondoke?

Tatu, wamepokeaje, kama wamepokea mwitikio huu?

Nne, chama chao nacho kinasemaje?

Tano, spika ambaye wengi wameonyesha kumuombea yasikuwa mazuri anajitafakarije kwa hali hii?

Sita, jibu ni kuwachukia au kuhakikisha hawarejei uchaguzi ujao?

Saba, tatizo ni wabunge au wapiga kura wanaohongwa udohoudoho?

Nane, tatizo ni tume mbovu ya uchaguzi inayochakachua uchaguzi?

Naomba kuwasilisha
Wewe unawapenda?! Utakuwa huna akili kama unaweza mpenda mtu kama ndugai au tulia akson
 
Back
Top Bottom