Kama huwezi au hukuweza kuona 'connection' hapo ina maana ' you're narrow minded; or you have a one track mind'.Hili ni jibu la vyombo kukolea, hakuna sehemu nilipomtaja Trump.
Ndiyo, pamoja na kuchangamsha a stale posting, hiyo ya Trump ina relevance katika hayo uliyo yazungumzia kwenye hizo 'whipping' zako. Ni mara ngapi Trump kakataliwa na representatives wa Republicans, hata katika ngwe yake ya mwanzo na wakati akigombea. Hiyo ndiyo iliyo kuwa pointi hapo.
Hiyo 'whipping' unayo izungumzia, ndiyo ina sehemu yake; lakini siyo njia ya kuwaburuza wasiotaka yanayo takiwa na wabunge kama inavyo fanyika hapa kwetu. Hilo ndilo nilo lenga kukujibu.'