Imekuwa ikisikika kwamba baadhi ya wanandoa huwakataza wenza wao kwenda kuwapeleka watoto kwa wazazi wenza endapo waliwahi kupata mtoto/watoto kabla ya mahusiano mapya yaliyozaa ndoa.Mfano unaishi na mtoto uliyempata na mzazi mwingine inapofika hata kipindi cha likizo unataka ukutane na mzazi mwenza mpangilie kuhusu matunzo ya mtoto na kumpatia mwanao nafasi ya kumuona mzazi wake unakuta unakatazwa na mtu wako wa ndoa hivi shida nini wakulungwa.Si ndyo kumnyima mtoto fursa ya ku interact na mzazi wake pia kuwanyima wazazi hawa nafasi ya kujadili juu ya matunzo ya mtoto wao?