- Thread starter
- #21
Ni kweli ila SI unajua Kuna ile unakomaa kumake sure unajenga good relationship ila shetan nae duUkijua kuna umuhimu wa kulea mtoto pamoja na mzazi mwenzako then zingatia kujenga mahusiano imara ili usipatwe na hii kadhia ya kuhangaika kuharibu mahusiano ya mtu mwingine aliyechukuzana na mwanaume au mwanamke uliyepata nae mtoto. Waache walee mtoto wako kwa amani,akikua atakutafuta. Ukishindwa ,then subiri miaka saba ipite ukachukue mtoto wako ukamlee mwenyewe.