Kwanini mtoto asisubiriwe akue halafu aende kwa mzazi wake kumtembelea?
Hatujagombana tuliachana kwa amani kabisa,kila mtu anakaupendo ka mzazi.mwenzaNikuulize mleta mada unaweza kurudi katika ardhi wakati ulishatoka kwenye ardhi yenye mgogoro?
Kwa Ufupi hiyo Bongo haipoo, Wanawake wa kibongo ,Hawa sitaki nataka, ndio ni hapana na hapana ni ndio??.Imekuwa ikisikika kwamba baadhi ya wanandoa huwakataza wenza wao kwenda kuwapeleka watoto kwa wazazi wenza endapo waliwahi kupata mtoto/watoto kabla ya mahusiano mapya yaliyozaa ndoa.Mfano unaishi na mtoto uliyempata na mzazi mwingine inapofika hata kipindi cha likizo unataka ukutane na mzazi mwenza mpangilie kuhusu matunzo ya mtoto na kumpatia mwanao nafasi ya kumuona mzazi wake unakuta unakatazwa na mtu wako wa ndoa hivi shida nini wakulungwa.Si ndyo kumnyima mtoto fursa ya ku interact na mzazi wake pia kuwanyima wazazi hawa nafasi ya kujadili juu ya matunzo ya mtoto wao?
Kwannhili nalo tulijadili? una miaka mingapi shemeji? wewe mruhusu huyo wako ikibidi akalale huko huko kwa baba mtoto wake
Wanasema eti heri aombe ruhusa kuliko ya kimya kimyaMwanamke mwenye uthubutu na ujasiri wa kuomba rubusa hiyo kwa mumewe, huyo anatakiwa kuachika ASAP pasipo kusubiri mjadala wa aina yeyote na kutoka kwa mtu yeyote.
Mume ni mamlaka kamili ndani ya nyumba, na mke anapaswa kutii mamlaka ikiwa alizaa kabla ya kuingia kwenye ndoa l.... basi baba wa mtoto anapaswa tu kuwasiliana na baba mlezi wa mtoto na mengine watapanga wanaume wenyewe.
HavitakiwiSi kuna vile vikao vya dharura kujadili namna ya kusongesha gurudumu
Wamekimbia duKwani wanandoa wenyewe wanasemaje kuhusu hili.? Tuanzie hapo kwanza