binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 16,966
- 47,296
😂😂😂😂ðŸ˜ðŸ˜Wana vipaji na hiyo biashara ya pub.
😂😂😂😂ðŸ˜ðŸ˜Wana vipaji na hiyo biashara ya pub.
Kwa kweli lazima nilale muhimu sana kulala singidaHii sikupiga, na wala namba yake sikuchukua. Ila nilikuwa natoa tu ushuhuda namna gani hawa watu walivyojaaliwa. We siku ukipita singida, nenda kajaze mafuta pale.Au jitahidi ulale singida
Kwamba ukikaa hivyo ndio unakuwa huru zaidi?Bado bado kidogo wewee kuoa unajifunga mwenyewe 😄
Sio malaya bana, hawa watu ni wa muhimu sana, wanaboresha ndoa hawa, sio watu wa kupuuzwaNdo umalaya wnyw huo 😂
[emoji23][emoji23][emoji23]Sifa za bamedi lazima awe mweupe sasa mkoa gani una mabinti weupe