hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,393
Namba yake please ili nikienda namimi nipitie hapo petrol station anipe huduma ya kunijazia mafutaBar yako kama haina pisi kali, siji, na pisi kali kiukweli zinapatikana Singida au Bukoba, Nakumbuka huwa nikisafiri kuelekea Mwanza, lazima nilale Singida. Mitaa ya uwanja wa mpira wa Namfua, kuna shell moja ipo barabarani karibu na mataa, kuna pisi moja nyeupe inafanya kazi pale sheli mwanangu, unaweza kudhani sio Mtanzania, kumbe ni Singida United, shida yao Beki hazikabi, ukiwa nayo hesabu muda wowote utapigiwa