Usiniache mkuu dude lilo full tankHapa napakia begi nifunge safari niende huko singida mkuu, maana sio kwa comments hizi...😋
Ila hizo kazi n rahisi Kumkuta n malaya, h ndo point yanguZamani hata watu walikuwa wanawasema boda boda na kondakta kuwa watu wabaya ila sikuhizi na wao wanaoa wake wazuri tu, including wapiga debe!
Kazi ni kipimo cha utu😁🙏🏽
Hao niliowataja n rahisi kufanya umalayaUmeathirika na mazingira uliyokulia pamoja na mapokeo ya jamii yako.
NB:Vipi kuhusu wanawake manesi,askari,wauza maduka na wafanyabiashara wa kusafiri kila leo,nao unawafikiriaje?
Siku hizi sio, lakini we si unasemaga wanawake wote ni malaya sasa tatizo liko wapi hapo?Ila hizo kazi n rahisi Kumkuta n malaya, h ndo point yangu
Ni dhamira,asili,kupenda na mazingira(uchumi & kubananishwa kibabe )ndivyo huongoza zaidi.Hao niliowataja n rahisi kufanya umalaya
Wanatumia vizuri mafuta ya alizeti,ulaji mwema wa kuku na madoo.Singida ina mabinti wazuri
Kama Niliwah kusema hayo maneno bc Nisamehen nilikuwa nmelewa 😂Siku hizi sio, lakini we si unasemaga wanawake wote ni malaya sasa tatizo liko wapi hapo?
Kwa nini bwasheeSasa si bora unywee nyumbani
Kuna pub moja pale tegeta wamejaa wengi mnoHalafu sio wachoyo wa fadhila
Wana mashepu matata sio poaKwamba hawahitaji kiti kukaa, wao wakichuchumaa tuu tayar wameshakaa?
Kigoda kizuri kinaendana na rangi nyeusi, kidogo cha weupe kimetepeta sanaTatizo rangi na sura😆
Tunafuata bia, mpira na mizigo.Kwa nini bwashee
Hawahitaji mkorogo na wagawaji wazuri.Kuna siri gani juu ya mabinti wa Singida, are they good at hospitallity and homage?
😅 mimi pombe tu na vibe la wana, kwanza nikishalewa hata kama nikiona goma kali nalipotezeaTunafuata bia, mpira na mizigo.
Umewaza nini kwani😆Kigoda kizuri kinaendana na rangi nyeusi, kidogo cha weupe kimetepeta sana
Kuna vigoda mdondokeo na vigoda mnyanyukoUmewaza nini kwani😆
Kutepetaje tena?🫢