min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Wasukuma wana vigoda sio poa 😅Ndio wazuri sana! Sasa wasukuma sisi nani akiweke bar ukatishe wateja😂
Wasukuma wana vigoda sio poa 😅Ndio wazuri sana! Sasa wasukuma sisi nani akiweke bar ukatishe wateja😂
Kumbe kazi yako kuzunguka kwenye MaBar Mzee wa visungura ?Kuna siri gani juu ya mabinti wa Singida, are they good at hospitallity and homage?
Tatizo rangi na sura😆Wasukuma wana vigoda sio poa 😅
Nani kasema hivyo jamani😅Kwamba warembo wote kazi zao n bar?
Hv wife material anaweza kufanya kazi bar?Nani kasema hivyo jamani😅
Ila bar shart uwe mrembo uwe kivutio cha ndani ya bar
Kwamba hawahitaji kiti kukaa, wao wakichuchumaa tuu tayar wameshakaa?Wasukuma wana vigoda sio poa 😅
🤣🤣Sura njema,sauti kinanda,mwili nyororo,vimo hitajika,mazungumzo yenye uuwiano mwema,tabia ridhishi,hawana neno "ubishi" kwenye dikeshenari yao,rangi ya ngozi ni za kutazamia tamthiliya ya "ze promise",aibu na utu,wepesi kuendana na mazingira,wanajua kudekea wateja na sifa nyingine pomoni tena kadhalika wa kadhaa wanazo.Swali lingine ndugu mleta uzi kabla sijaagiza kileo changu.
Hiyo ni kazi kama kazi nyingine tu! Mbona wanaolewa sana tu..Hv wife material anaweza kufanya kazi bar?
Natolea wapi swali na sina hivyo vigezo hata kimoja😃
Mh kwangu mm mwanamke anayefanya kazi za bar, saloon sehemu za massage, lodge Yn Hata sijui namchukuliaje linapokuja suala la kumuona n wife materialHiyo ni kazi kama kazi nyingine tu! Mbona wanaolewa sana tu..
Hayo ni mambo ya kizamani sikuhizi ridhiki inatafutwa kila kona! Ni akili tu ya mtu!Mh kwangu mm mwanamke anayefanya kazi za bar, saloon sehemu za massage, lodge Yn Hata sijui namchukuliaje linapokuja suala la kumuona n wife material
Mh labla ipo siku h mindset itanitokaHayo ni mambo ya kizamani sikuhizi ridhiki inatafutwa kila kona! Ni akili tu ya mtu!
Kuna saluni z akishua mtu analipwa kaki 5 aach ekufanya kazi kisa atakosa muoaji?
Umeathirika na mazingira uliyokulia pamoja na mapokeo ya jamii yako.Mh kwangu mm mwanamke anayefanya kazi za bar, saloon sehemu za massage, lodge Yn Hata sijui namchukuliaje linapokuja suala la kumuona n wife material
Zamani hata watu walikuwa wanawasema boda boda na kondakta kuwa watu wabaya ila sikuhizi na wao wanaoa wake wazuri tu, including wapiga debe!Mh labla ipo siku h mindset itanitoka
Sasa si bora unywee nyumbaniHili sijalijua bado mkuu,mimi bar huwa ninafuata pombe tu
Hahahawengi wao wako very polite....sasa wewe fungua ya kwako uweke hapo wakibosho na wamachame mteja akizingua anakula chupa ya kichwa