Kwanini wanaoanzisha pubs mpya wengi lazima watinge Singida kutafuta mabinti wa kuziendesha/kuhudumia?

Kwanini wanaoanzisha pubs mpya wengi lazima watinge Singida kutafuta mabinti wa kuziendesha/kuhudumia?

Mabaa medi sio wachoyo wa jambo lile sema wapo ambao nawajua hawana mambo ya kiwaki
 
Duh mbona kuna nyuzi kama mia ndio ilikuwa slogan yako🫢
Nisameheni, Ila pia angalia comments nyingi humu khs hao wanaofanya kaz bar utakuta wanahusishwa na umalaya
 
Kama msingida nakujibu kama ifuatavyo, majibu ya wengine pia yako sahihi.

1.Wazuri

2.Ni kazi isiyohitaji elimu (Mwamko wa elimu singida kwetu uko chini, japo tuna akili “kweri kweri “ Suala la elimu ndilo linawatofautisha na wenzao wanaofanana nao ie: kilimanjaro, Arusha na manyara

3.Ni wakaribu (soft spoken) mi sijui niliokotwa wapi 😅

4. Sio watu wa dini sana, compared to kondoa ambapo kuna same type ya mabinti.

5.Umasikini, kuna kazi kama sio umasikini huwezi fanya.

6.Ni waaminifu kwenye hela ya mtu, ndivyo tulivyolelewa. Ni rahisi kwetu kupewa kuliko kuiba.

Etc
 
Tegeta
Kigamboni
Mbezi
Goba
Tanga hapa wamejaa watoto kutoka mombasa
 
Hili sijalijua bado mkuu,mimi bar huwa ninafuata pombe tu
Bar yako kama haina pisi kali, siji, na pisi kali kiukweli zinapatikana Singida au Bukoba, Nakumbuka huwa nikisafiri kuelekea Mwanza, lazima nilale Singida. Mitaa ya uwanja wa mpira wa Namfua, kuna shell moja ipo barabarani karibu na mataa, kuna pisi moja nyeupe inafanya kazi pale sheli mwanangu, unaweza kudhani sio Mtanzania, kumbe ni Singida United, shida yao Beki hazikabi, ukiwa nayo hesabu muda wowote utapigiwa
 
Singida kuna viwanja vya bata kweli kuna pisi za moto , yani kote kote mpaka wapika chips wamoto bwashee , sema mimi sijui kwanini kwenye pombe nazingatia kulewa zaidi😅
 
Unaweza ukatembea na mama mtu na watoto zake wakike watatu wakajua unatembea na mama yao, na siku ukajaribu kurusha kamba kwa watoto zake kwa zamu wakakukubalia na ukatembea nao wote

Na uzuri ukaendelea na mama yao na akajua umetembea na watoto zake na asiwe na shida yeyote ilee ukaendelea tu na mzunguruko huo mpaka utakapoamua mwenyewe kuwaacha ila mila ya ukeketaji ipo sana huko
Duhh huko mbona sijawahi kufika masikini Mimi nasubiri Nini !!! 🤣😄
 
Back
Top Bottom