Hii sikupiga, na wala namba yake sikuchukua. Ila nilikuwa natoa tu ushuhuda namna gani hawa watu walivyojaaliwa. We siku ukipita singida, nenda kajaze mafuta pale.Au jitahidi ulale singida
Huduma za front office management zinahitaji watu wenye muonekano mzuri na ukarimu. Sio bar tu ni kila sehemu, hospitali,ofisini, kanisani, kwenye biashara nk