Asalamaleko
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 2,699
- 7,726
OK. Mkuu ulijisahihishaje? na bado unachinja?Na sio kila Muisilamu anachinja,lazima uwe na hiyo Elimu.Mimi mwenyewe nilikuwa mkristo na nilikuwa nachinja kabla,lakini kulikuwa na makosa makubwa ya uchinjaji
Haiko hivyo,Utakuta watu wa Dini zingine mfano Wakristo wakiwa na vitoweo vyao wanapoitaji kuvichinja walio wengi lazima wawapeleke Waisilamu wawachinjie, ina mana wao hawaruhusiwi kuchinja?
Ndiyo ndugu yangu,zamani nilikuwa nashika kuku na kuchinja,lakini baada ya kupata Elimu,sasa hivi nachinja kwa ruksa ya aliyekiumba kiumbe chake.Kwanza lazima nielekee kibra,pila lazima nimuombe Mwenyezi MunguOK. Mkuu ulijisahihishaje? na bado unachinja?
Kwahiyo Mkuu wanapokimbilia Mars hawatakufa?Ni ujinga na umaskini wenzetu wanakimbilia mars sisi tunalilia hakinya kuchinja mbuzi..afika afrika tu
Lakini Waislam wananiangusha bana.Utakuta watu wa Dini zingine mfano Wakristo wakiwa na vitoweo vyao wanapoitaji kuvichinja walio wengi lazima wawapeleke Waisilamu wawachinjie, ina mana wao hawaruhusiwi kuchinja?
Tutakuja na maada ya kitimotoLakini Waislam wananiangusha bana.
Hawachinji kitimoto.
Muhimu aisee.Tutakuja na maada ya kitimoto
Nipo kikosi cha Taifa cha wachinja nguruwe. Sijaona jamaa wa wa makobazi kwenye hii chembaSasa nguruwe mpaka umpige azimie hayo mambo ya kuchinja watayajua wapi.
haya tumemaind sasaKwa sababu mkristo akichinja muislam Hali ila muislam akichinja mkristo anakula bila shida ivyo sio Mbaya muislam kuchinja mana mkristo Hamaind
Neno la MUNGU kwenye Biblia halijasema kitu cha kusema au kutamka wakati wa kuchinja kitoweo.Unapochinja huwa unasemaje?
Unaanzaje kuchinja wakati kuna house boy?Utakuta watu wa Dini zingine mfano Wakristo wakiwa na vitoweo vyao wanapoitaji kuvichinja walio wengi lazima wawapeleke Waisilamu wawachinjie, ina mana wao hawaruhusiwi kuchinja?
Lakini wanakulaLakini Waislam wananiangusha bana.
Hawachinji kitimoto.
Hahahaha! Eti wamevuka viwango vya ustaarabuKukiwa na ulazima wakristo sio wabishi huwapa waislamu wachinje lakini nao wanaweza kuchinja kawaida tu.
Ilo suala la kusema wanamkabishi Mungu gani ndipo wakristo wameona itatokea competition ya kipumbavu isiyo maana, ndio maana wao wamekubali.
waheshimuni pia maana wamevuka viwango vya ustaarabu.
Ni kujenga ujirani mwema.Wewe pia ukitaka chinja.Utakuta watu wa Dini zingine mfano Wakristo wakiwa na vitoweo vyao wanapoitaji kuvichinja walio wengi lazima wawapeleke Waisilamu wawachinjie, ina mana wao hawaruhusiwi kuchinja?