Ukiskia chongo kuita kengeza ndo huku sasa!Wakristo ni watu wepesi kujamiiana/ kujumuika na watu wengine sio kwamba hawawezi kuchinja ila waislamu wana kasumba ya kutokula kilichochinjwa na watu wenye imani nyingine.
Kwahiyo wakristo wanawaita waislamu ili akikaribishwa isilete shida ndio maana machinjio yote wapo waislamu na wakristo wamekubaliana na hali hiyo ili kutoleta migogori isiyo sababu.
With all due respect, waislamu wana utaratibu kamili tofauti na dini nyengine zote! Kuchinja ni jambo moja, mimi ntakwambia kuanzia kuamka mpaka kulala waislamu wamefundishwa utaratibu kamili wa kila jambo, na hii namaanisha straight kutoka kwa Mtume (SAW) na sio shekhe fulani ameota au amefunuliwa.
Mfano, Ukiamka asubuhi useme na ufanye nini, ukila useme nini na ule vp, Ukitoka kwako useme nini na utoke vp, ukiwa kwenye mihangaiko yako ni kipi halali kwako na kipi haramu kwako (usipunguze katika mizani, usile riba, n.k). Ukirudi kwako useme nini na uingie vp nyumbani kwako, wasalimie watu wako kwa salamu bora itokayo kwa Mola wako (assalaam alaykum), hii ni salamu ya mitume wote waliopita including Yesu (nenda kaangalie aliwasalimia vp watu wake na hiyo salamu katika lugha yake ilitamkika vp na ilikuwa na maana gani then linganisha na salamu hii ya waislamu then utajua nani yupo karibu zaidi kimatendo na Yesu kati ya waislamu na wakristo.
The list goes on and on! so hiyo ya kuchinja kuku ni moja katika taratibu alizowekewa muislamu vp achinje na aseme nini wakati wa kuchina! na yote hayo ni kumuweka mbele Mungu katika kila unachokifanya katika maisha yako.