superchager turubo
Senior Member
- Aug 12, 2023
- 177
- 304
kitaalamu Gani wengi mnagugo halafu mnakuja kudanganya watu humu.tatizo lako ni moja mwenzako anajibu kitaalamu, wewe unajibu kishabiki. unaonekana wewe ni local fundi wa magari nyie ndo mnatuharibiaga magari.
Mimi siloko kama unavyo fikiri.garininazo tengeneza weee unaziona kwenye picha tuu.mana nikuualiza gari yagarama ulio wahi kuindesha auhata kupanda kushoto tuu uendeshwe nitakuonea Bure.tatizo lako ni moja mwenzako anajibu kitaalamu, wewe unajibu kishabiki. unaonekana wewe ni local fundi wa magari nyie ndo mnatuharibiaga magari.
umeandikwa ukivuta unaharibu kitu Gani?Gari yangu ni IST AWD ...Imeandikwa kabisa hairuhusiwi kuvutwa ni lazima ibebwe lasivyo wa disconnect torque converter kwenda tyre zote za nyuma na za mbele
hivi wee nifundi au unayafaham magari tuu?gari imezimwa wakati wakuvutwa giabox inapataje moto?unajua chanzo cha moto kwenye gari ni niini?Weka facts mezani usiseme tu haiwezi kupata joto, how?
Kwanini baadhi ya gearbox waliweka secondary oil pump kwenye gearbox?
Humu ndani kuna mtu ametoa mfano wa Ford Ranger naye umeshindwa kumuelewa?
Ni Gearbox Bossumeandikwa ukivuta unaharibu kitu Gani?
haiwezi.tushafanya sana vitu hivyo.nahata kama inaharibika sio nkirahisi hivyo.Ni Gearbox Boss
acheni uongo Tena kati yagiabox ambazo ningumu kuunguza clutch ni Ford..
hivi unavuta gari ikiwa free utaharibu nini kwamfano?
Kwamba vitu vikizunguka bila Oil hujui kama kuna madhara. Upo serious kweli?Sasa kama gari imezimwa na inavutwa Kuna haja gani yakila sehemu ya giabox kupata mzunguko kamili wa oil?
Huu ni mtazamo wako ila uhalisia haupo hivo,Acha ujuaji weee unavyoonekana wee magari umeyasoma zaidi kwenye vitabu sio kujifunza kwavitendo.
Kuna mahali uliona nmeandika kwamba inashift gears,kwani unapo vuta gari kunahaja ya giabox kushift gia mfano 1 kwenda 2 nakuendelea?
Gearbox automatic inakuwa na Oil cooler au pipes za gearbox zilizokuja kwenye radiator,halafu giabox inapata moto zaidi kuliko injini kwasababu Haina mfumo wa upoozaji kama injini.
Hili swali lako sijalielewa.wee jamaa ufundi sijui umejifunzia wapi.hivi unapotaka kupiga oil yagia box unatumia kanuni Gani Ili ujueipo sawa?
Hakuna mtu aliyeandika gearbox inakufa hapohapo, ila ukivuta unaharibu gearbox,haiwezi.tushafanya sana vitu hivyo.nahata kama inaharibika sio nkirahisi hivyo.
labda kama kilasiku kaziyako nikuvutwa tuu ndio lolote linaweza kutokea.sio inavutwa maramoja giabox inakufa hapohapo huo niuongo.
Huyohuyo aliyeweka sehemu ya kuvutia ndiye aliyeweka condition ya usivute zaidi ya 25Km na speed isizidi 40.kitaalamu Gani wengi mnagugo halafu mnakuja kudanganya watu humu.
ingekuwa nihatari hivyo hizogari zisingewekwa sehemu zakuvutia inapo pata changa moto.wazungu sio machizi kama..
which can demage the engine.unajua kilicho kusudiwa kwenye maelezo Yako?Acha ufundi wakugugo mkuu.View attachment 2723489
View attachment 2723490
View attachment 2723491
Tena nakuongezea, usivute gari automatic kwa zaidi ya 25KM. Maana hilo sikuliandika.
Manual za magari yote zimeweka condition za kuvuta gari yenye automatic transmission, wewe unasema hamna madhara yoyote. According to uelewa wako .
unaharibu nini Sasa mbona huwi wazi?Hakuna mtu aliyeandika gearbox inakufa hapohapo, ila ukivuta unaharibu gearbox,
inahitajika oil kidogo sana kuweka uthmooth kwenye clutch tuu.Kwamba vitu vikizunguka bila Oil hujui kama kuna madhara. Upo serious kweli?
kwani nimesema uvute speed 100?Acha ufundi wakugugo utapotea.Huyohuyo aliyeweka sehemu ya kuvutia ndiye aliyeweka condition ya usivute zaidi ya 25Km na speed isizidi 40.
Kwanini giabox haijawekwa njia za maji?Huu ni mtazamo wako ila uhalisia haupo hivo,
Kuna mahali uliona nmeandika kwamba inashift gears,
Gearbox automatic inakuwa na Oil cooler au pipes za gearbox zilizokuja kwenye radiator,
Hili swali lako sijalielewa.
Sheria bado ni hiyohiyo 25km kwa 40km/hElimu nzuri, vipi ukipata breakdown ⛍ porini
Mambo ya magari tunayotengeneza au kuwahi kupanda siyo muhimu. Na halikuwa lengo la huu uzi.Mimi siloko kama unavyo fikiri.garininazo tengeneza weee unaziona kwenye picha tuu.mana nikuualiza gari yagarama ulio wahi kuindesha auhata kupanda kushoto tuu uendeshwe nitakuonea Bure.