Kwanini wanashauri usivute gari lenye Automatic Gearbox ukipata break down, badala yake upakie kwenye Flatbed Truck

Kwanini wanashauri usivute gari lenye Automatic Gearbox ukipata break down, badala yake upakie kwenye Flatbed Truck

tatizo lako ni moja mwenzako anajibu kitaalamu, wewe unajibu kishabiki. unaonekana wewe ni local fundi wa magari nyie ndo mnatuharibiaga magari.
kitaalamu Gani wengi mnagugo halafu mnakuja kudanganya watu humu.

ingekuwa nihatari hivyo hizogari zisingewekwa sehemu zakuvutia inapo pata changa moto.wazungu sio machizi kama..
 
tatizo lako ni moja mwenzako anajibu kitaalamu, wewe unajibu kishabiki. unaonekana wewe ni local fundi wa magari nyie ndo mnatuharibiaga magari.
Mimi siloko kama unavyo fikiri.garininazo tengeneza weee unaziona kwenye picha tuu.mana nikuualiza gari yagarama ulio wahi kuindesha auhata kupanda kushoto tuu uendeshwe nitakuonea Bure.
 
Weka facts mezani usiseme tu haiwezi kupata joto, how?

Kwanini baadhi ya gearbox waliweka secondary oil pump kwenye gearbox?

Humu ndani kuna mtu ametoa mfano wa Ford Ranger naye umeshindwa kumuelewa?
hivi wee nifundi au unayafaham magari tuu?gari imezimwa wakati wakuvutwa giabox inapataje moto?unajua chanzo cha moto kwenye gari ni niini?
 
acheni uongo Tena kati yagiabox ambazo ningumu kuunguza clutch ni Ford..

hivi unavuta gari ikiwa free utaharibu nini kwamfano?
Screenshot_2023-08-21-07-55-54-004_com.android.chrome.jpg


Screenshot_2023-08-21-07-55-13-399_com.android.chrome.jpg


IMG_20230821_075412.jpg


Tena nakuongezea, usivute gari automatic kwa zaidi ya 25KM. Maana hilo sikuliandika.

Manual za magari yote zimeweka condition za kuvuta gari yenye automatic transmission, wewe unasema hamna madhara yoyote. According to uelewa wako .
 
Acha ujuaji weee unavyoonekana wee magari umeyasoma zaidi kwenye vitabu sio kujifunza kwavitendo.
Huu ni mtazamo wako ila uhalisia haupo hivo,
kwani unapo vuta gari kunahaja ya giabox kushift gia mfano 1 kwenda 2 nakuendelea?
Kuna mahali uliona nmeandika kwamba inashift gears,

halafu giabox inapata moto zaidi kuliko injini kwasababu Haina mfumo wa upoozaji kama injini.
Gearbox automatic inakuwa na Oil cooler au pipes za gearbox zilizokuja kwenye radiator,
wee jamaa ufundi sijui umejifunzia wapi.hivi unapotaka kupiga oil yagia box unatumia kanuni Gani Ili ujueipo sawa?
Hili swali lako sijalielewa.
 
haiwezi.tushafanya sana vitu hivyo.nahata kama inaharibika sio nkirahisi hivyo.

labda kama kilasiku kaziyako nikuvutwa tuu ndio lolote linaweza kutokea.sio inavutwa maramoja giabox inakufa hapohapo huo niuongo.
Hakuna mtu aliyeandika gearbox inakufa hapohapo, ila ukivuta unaharibu gearbox,
 
kitaalamu Gani wengi mnagugo halafu mnakuja kudanganya watu humu.

ingekuwa nihatari hivyo hizogari zisingewekwa sehemu zakuvutia inapo pata changa moto.wazungu sio machizi kama..
Huyohuyo aliyeweka sehemu ya kuvutia ndiye aliyeweka condition ya usivute zaidi ya 25Km na speed isizidi 40.
 
Back
Top Bottom