Kwanini wanasisasa wa upinzani wamepoteza mvuto katika jamii? Ni uthibitisho kuwa jamii haiwaamini tena?

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Zamani wanasiasa wa upinzani walikuwa wakisimama kuongea ulikuwa unaona jamii nzima inazizima. Na kila mtu anaona wameongea hoja za msingi.

Siku hizi hakuna anayeona kama kuna la msingi wameongea na jamii ina wapuuza huku ikiwaponda kimoyomoyo na kimaneno.

Mfano ni Halima Mdee anaongea pumba tupu bungeni,Zitto Kabwe anakosa point mpaka andanganya mafuriko ya rufiji yalisababishwa na bwawa la stieglers kubomoka. Mbowe analialia kama mtoto, maana habari za kampuni yake binafsi kufungiwa akaunti zinatuhusu vipi?

Kipi kinawasibu hawa watanzania?
 
Mvuto huo waliokosa ndio ulifanya Tume kupanga na kuwapora kura!
 
Udikteta udikteta udiktetaaaa ulitamalaki ndugu yangu kwa hiyo kila mmoja aliogopa kusema ukweli ili asipotezwe sababu ndio hiyo tu hakuna nyingine kwa sasa Dikteta Mungu ameshamchukua utaona watu watakavyokuwa huru wataongea kila neno yaliopo na yasiyokuwepo
 
Labda wamepoteza mvuto kwenye jamii yenu ya mafisiem. Mmewadhulumu haki yao mwaka wa jana, halafu leo hii mnapata kabisa ujasiri wa kujishaua humu!!
Punguza hasira, kaa chini na utafakari. Usijibu mada kwa ghadhabu.
 
Udikteta udikteta udiktetaaaa ulitamalaki ndugu yangu kwa hiyo kila mmoja aliogopa kusema ukweli ili asipotezwe sababu ndio hiyo tu hakuna nyingine kwa sasa Dikteta Mungu ameshamchukua utaona watu watakavyokuwa huru wataongea kila neno yaliopo na yasiyokuwepo
Mbona Zitto na Mbowe wameongea juzi ila kama wamepuuzwa na jamii?
 
Zamani wanasiasa wa upinzani walikuwa wakisimama kuongea ulikuwa unaona jamii nzima inazizima. Na kila mtu anaona wameongea hoja za msingi.

Siku hizi hakuna anayeona kama kuna la msingi wameongea na jamii ina wapuuza huku ikiwaponda kimoyomoyo na kimaneno.

Mfano ni Halima Mdee anaongea pumba tupu bungeni,Zitto Kabwe anakosa point mpaka andanganya mafuriko ya rufiji yalisababishwa na bwawa la stieglers kubomoka. Mbowe analialia kama mtoto, maana habari za kampuni yake binafsi kufungiwa akaunti zinatuhusu vipi?

Kipi kinawasibu hawa watanzania?
Naona umeamua kuchenjia gia angani baada ya kuona utetezi wako umekumbana na spana za kutisha.

Umeamua kuhamisha magori
 
Zamani wanasiasa wa upinzani walikuwa wakisimama kuongea ulikuwa unaona jamii nzima inazizima. Na kila mtu anaona wameongea hoja za msingi.

Siku hizi hakuna anayeona kama kuna la msingi wameongea na jamii ina wapuuza huku ikiwaponda kimoyomoyo na kimaneno.

Mfano ni Halima Mdee anaongea pumba tupu bungeni,Zitto Kabwe anakosa point mpaka andanganya mafuriko ya rufiji yalisababishwa na bwawa la stieglers kubomoka. Mbowe analialia kama mtoto, maana habari za kampuni yake binafsi kufungiwa akaunti zinatuhusu vipi?

Kipi kinawasibu hawa watanzania?
Kwani upinzani bado upo tanzania?
Mbona mlitutangazia kuwa tayari mmesha ua upunzani tanzania
 
Back
Top Bottom