Zamani wanasiasa wa upinzani walikuwa wakisimama kuongea ulikuwa unaona jamii nzima inazizima. Na kila mtu anaona wameongea hoja za msingi.
Siku hizi hakuna anayeona kama kuna la msingi wameongea na jamii ina wapuuza huku ikiwaponda kimoyomoyo na kimaneno.
Mfano ni Halima Mdee anaongea pumba tupu bungeni,Zitto Kabwe anakosa point mpaka andanganya mafuriko ya rufiji yalisababishwa na bwawa la stieglers kubomoka. Mbowe analialia kama mtoto, maana habari za kampuni yake binafsi kufungiwa akaunti zinatuhusu vipi?
Kipi kinawasibu hawa watanzania?