Kwanini wanasisasa wa upinzani wamepoteza mvuto katika jamii? Ni uthibitisho kuwa jamii haiwaamini tena?

Kwanini wanasisasa wa upinzani wamepoteza mvuto katika jamii? Ni uthibitisho kuwa jamii haiwaamini tena?

Huenda nawe ni DC hivi! Hii ni Hasara kwako Taifa kuwa na watu wanafikiri kiwango hiki
 
Tatizo la upinzani hawatumii sayansi ya siasa katika mapambano yao na hawasomi mazingira na upepo wa siasa badala yake huvamia na kuropoka bila kufanya uchambuzi wa reaction ya jamii kwa wanayosema.dr silaa aliweza kwenda kisayansi lakini siyo Mbowe, Zito, nk. A lon way to go. Angalia kumsema hayati Magufuli kisiasa haiwalipi zaidi ya kujichafua soma mood ya watanzania baba vinginevyo unaweza kujifanyia political suicide
Ebu toa ngonjera zenu hizo nyinyi Mataga wa lumumba
 
Sukuma Gang mumeishiwa hoja sasa,mlianza kumnunia Samia naye kawadharau tu mnaanza kujipendekeza pendekeza kwake kwa kuanza kuwasema wapinzani ambao hawapo kwenye Serikali mpo wenyewe tu. Tuliwaambia kuwa Rais wa JMT ni Mama Samia,huo ndiyo ukweli wenyewe au nasema uongo nyie wahutu mnaojivika Usukuma? Hamtaki rudini kwenu Burundi.
Umejuwaje?[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbona Zitto na Mbowe wameongea juzi ila kama wamepuuzwa na jamii?
Ulitaka hiyo jamii ifanyeje labda? Umemuona mfanyabiashara yeyote mkubwa akijitokeza kupingana na Mbowe? Ni mwananchi gani anayejielewa aliyempuuza Mbowe? Ni kwa vipi Zitto kapuuzwa na wapi?
 
Acha uongo, Mdee ni chama kipi cha upinzani? Ndugayi Part? Alafu Mbowe na Zitto hawapo bungeni, kalete uongo mwingine! Pia kama Wewe siyo pepo, hiyo watu kuponda upinzani kimoyo moyo umeisomaje?!
Mwacheni aendelee kuota
 
Zamani zipi hizo? Usisahau uchaguzi mkuu ulikuwa takribani miezi 5 tu iliyopita na pasi shaka unajua kilichotokea katika uchaguzi huo pamoja na umma kufungiwa kapuni kwa miaka 5 net
Mkuu muwache huyo aendelee kusinzia
 
Kama mbowe watu hawana hata muda naye amejitahidi kutaka kutengeneza tension kwa watu kupitia chawa wake wa ufipani wamepost kila mtandaoni kabla na baada ya hotuba yake ila watu hawataki hata kujua kasema nini😃😃😃.
Watu washazinduka now wanajua wapinzani ni wazushi na watu wa maslahi hakuna mtanzania anayewaamini tena.
 
Sasa nani atawafatiia watu waajabu wamesusia hadi uchaguzi unafikiri watanzania wajinga Sana wameshazinduka Kama Hawa ni matapeli.
 
Back
Top Bottom