Mvuto huo waliokosa ndio ulifanya Tume kupanga na kuwapora kura!Zamani wanasiasa wa upinzani walikuwa wakisimama kuongea ulikuwa unaona jamii nzima inazizima. Na kila mtu anaona wameongea hoja za msingi.
Siku hizi hakuna anayeona kama kuna la msingi wameongea na jamii ina wapuuza huku ikiwaponda kimoyomoyo na kimaneno.
Mfano ni Halima Mdee anaongea pumba tupu bungeni,Zitto Kabwe anakosa point mpaka andanganya mafuriko ya rufiji yalisababishwa na bwawa la stieglers kubomoka. Mbowe analialia kama mtoto, maana habari za kampuni yake binafsi kufungiwa akaunti zinatuhusu vipi?
Kipi kinawasibu hawa watanzania?
Mbona Zitto na Mbowe wameongea juzi ila kama wamepuuzwa na jamii?Udikteta udikteta udiktetaaaa ulitamalaki ndugu yangu kwa hiyo kila mmoja aliogopa kusema ukweli ili asipotezwe sababu ndio hiyo tu hakuna nyingine kwa sasa Dikteta Mungu ameshamchukua utaona watu watakavyokuwa huru wataongea kila neno yaliopo na yasiyokuwepo
Naona umeamua kuchenjia gia angani baada ya kuona utetezi wako umekumbana na spana za kutisha.Zamani wanasiasa wa upinzani walikuwa wakisimama kuongea ulikuwa unaona jamii nzima inazizima. Na kila mtu anaona wameongea hoja za msingi.
Siku hizi hakuna anayeona kama kuna la msingi wameongea na jamii ina wapuuza huku ikiwaponda kimoyomoyo na kimaneno.
Mfano ni Halima Mdee anaongea pumba tupu bungeni,Zitto Kabwe anakosa point mpaka andanganya mafuriko ya rufiji yalisababishwa na bwawa la stieglers kubomoka. Mbowe analialia kama mtoto, maana habari za kampuni yake binafsi kufungiwa akaunti zinatuhusu vipi?
Kipi kinawasibu hawa watanzania?
Atafanya nini wakati ndiyo starehe yakeBange bwana,,,mmmmh
Kwani upinzani bado upo tanzania?Zamani wanasiasa wa upinzani walikuwa wakisimama kuongea ulikuwa unaona jamii nzima inazizima. Na kila mtu anaona wameongea hoja za msingi.
Siku hizi hakuna anayeona kama kuna la msingi wameongea na jamii ina wapuuza huku ikiwaponda kimoyomoyo na kimaneno.
Mfano ni Halima Mdee anaongea pumba tupu bungeni,Zitto Kabwe anakosa point mpaka andanganya mafuriko ya rufiji yalisababishwa na bwawa la stieglers kubomoka. Mbowe analialia kama mtoto, maana habari za kampuni yake binafsi kufungiwa akaunti zinatuhusu vipi?
Kipi kinawasibu hawa watanzania?
Tunachojua ni kwamba upinzani ulisha kufa kama tulivyo ambiwaMh naomba niulize.kumbe na wewe mleta maada huwa unawasikiliza hao wapinzani?
Kama atakuwa na akili hatokujibu maana atakuwa anajikaangaMvuto huo waliokosa ndio ulifanya Tume kupanga na kuwapora kura!
Hajielewi tu maana anaruka ruka tu utadhani anacheza mdakoMdee unayemzungumzia hapa ni wa chama gani cha upinzani?? Huenda ikawa hata mleta mada hujielewi!
Kwahiyo wewe hasira zimekwisha?Punguza hasira, kaa chini na utafakari. Usijibu mada kwa ghadhabu.
Nimeamini ngoma ya kitoto haikeshiHii sio kweli.