900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 7,704
- 9,186
Mdee ni mwanachama wa chama cha ndugai au naye ndugai unashindana nayeZamani wanasiasa wa upinzani walikuwa wakisimama kuongea ulikuwa unaona jamii nzima inazizima. Na kila mtu anaona wameongea hoja za msingi.
Siku hizi hakuna anayeona kama kuna la msingi wameongea na jamii ina wapuuza huku ikiwaponda kimoyomoyo na kimaneno.
Mfano ni Halima Mdee anaongea pumba tupu bungeni,Zitto Kabwe anakosa point mpaka andanganya mafuriko ya rufiji yalisababishwa na bwawa la stieglers kubomoka. Mbowe analialia kama mtoto, maana habari za kampuni yake binafsi kufungiwa akaunti zinatuhusu vipi?
Kipi kinawasibu hawa watanzania?
Mbowe kabla hata ya kujisafisha na uongo wake wa kulewa na kuangushwa na konyagi kisha kulitangazia taifa kwamba amepigwa na wasiojulikana, amekuja na igizo jingine kwamba alifilisiwa na akaunti zake zote zilifungwa na TRA!!Zamani wanasiasa wa upinzani walikuwa wakisimama kuongea ulikuwa unaona jamii nzima inazizima. Na kila mtu anaona wameongea hoja za msingi.
Siku hizi hakuna anayeona kama kuna la msingi wameongea na jamii ina wapuuza huku ikiwaponda kimoyomoyo na kimaneno.
Mfano ni Halima Mdee anaongea pumba tupu bungeni,Zitto Kabwe anakosa point mpaka andanganya mafuriko ya rufiji yalisababishwa na bwawa la stieglers kubomoka. Mbowe analialia kama mtoto, maana habari za kampuni yake binafsi kufungiwa akaunti zinatuhusu vipi?
Kipi kinawasibu hawa watanzania?
Tunamwamini marehemu aliyeugua kisirisiri na kufa kisisiri.Zamani wanasiasa wa upinzani walikuwa wakisimama kuongea ulikuwa unaona jamii nzima inazizima. Na kila mtu anaona wameongea hoja za msingi.
Siku hizi hakuna anayeona kama kuna la msingi wameongea na jamii ina wapuuza huku ikiwaponda kimoyomoyo na kimaneno.
Mfano ni Halima Mdee anaongea pumba tupu bungeni,Zitto Kabwe anakosa point mpaka andanganya mafuriko ya rufiji yalisababishwa na bwawa la stieglers kubomoka. Mbowe analialia kama mtoto, maana habari za kampuni yake binafsi kufungiwa akaunti zinatuhusu vipi?
Kipi kinawasibu hawa watanzania?
Yeye alikuwa binadamu?Wewe ni binadamu?
Sometimes come out with some thinkable point!! Not this thrash. Talking like Facebook boyZamani wanasiasa wa upinzani walikuwa wakisimama kuongea ulikuwa unaona jamii nzima inazizima. Na kila mtu anaona wameongea hoja za msingi.
Siku hizi hakuna anayeona kama kuna la msingi wameongea na jamii ina wapuuza huku ikiwaponda kimoyomoyo na kimaneno.
Mfano ni Halima Mdee anaongea pumba tupu bungeni,Zitto Kabwe anakosa point mpaka andanganya mafuriko ya rufiji yalisababishwa na bwawa la stieglers kubomoka. Mbowe analialia kama mtoto, maana habari za kampuni yake binafsi kufungiwa akaunti zinatuhusu vipi?
Kipi kinawasibu hawa watanzania?
Tatizo la upinzani hawatumii sayansi ya siasa katika mapambano yao na hawasomi mazingira na upepo wa siasa badala yake huvamia na kuropoka bila kufanya uchambuzi wa reaction ya jamii kwa wanayosema.dr silaa aliweza kwenda kisayansi lakini siyo Mbowe, Zito, nk. A lon way to go. Angalia kumsema hayati Magufuli kisiasa haiwalipi zaidi ya kujichafua soma mood ya watanzania baba vinginevyo unaweza kujifanyia political suicideZamani wanasiasa wa upinzani walikuwa wakisimama kuongea ulikuwa unaona jamii nzima inazizima. Na kila mtu anaona wameongea hoja za msingi.
Siku hizi hakuna anayeona kama kuna la msingi wameongea na jamii ina wapuuza huku ikiwaponda kimoyomoyo na kimaneno.
Mfano ni Halima Mdee anaongea pumba tupu bungeni,Zitto Kabwe anakosa point mpaka andanganya mafuriko ya rufiji yalisababishwa na bwawa la stieglers kubomoka. Mbowe analialia kama mtoto, maana habari za kampuni yake binafsi kufungiwa akaunti zinatuhusu vipi?
Kipi kinawasibu hawa watanzania?
Swadakta.Tatizo la upinzani hawatumii sayansi ya siasa katika mapambano yao na hawasomi mazingira na upepo wa siasa badala yake huvamia na kuropoka bila kufanya uchambuzi wa reaction ya jamii kwa wanayosema.dr silaa aliweza kwenda kisayansi lakini siyo Mbowe, Zito, nk. A lon way to go. Angalia kumsema hayati Magufuli kisiasa haiwalipi zaidi ya kujichafua soma mood ya watanzania baba vinginevyo unaweza kujifanyia political suicide
Huo ni mtizamo wako na mipaka ya fikra zako. umejenga image endelea kuamini hivo.Mbona Zitto na Mbowe wameongea juzi ila kama wamepuuzwa na jamii?
Sukuma Gang mumeishiwa hoja sasa,mlianza kumnunia Samia naye kawadharau tu mnaanza kujipendekeza pendekeza kwake kwa kuanza kuwasema wapinzani ambao hawapo kwenye Serikali mpo wenyewe tu. Tuliwaambia kuwa Rais wa JMT ni Mama Samia,huo ndiyo ukweli wenyewe au nasema uongo nyie wahutu mnaojivika Usukuma? Hamtaki rudini kwenu Burundi.Zamani wanasiasa wa upinzani walikuwa wakisimama kuongea ulikuwa unaona jamii nzima inazizima. Na kila mtu anaona wameongea hoja za msingi.
Siku hizi hakuna anayeona kama kuna la msingi wameongea na jamii ina wapuuza huku ikiwaponda kimoyomoyo na kimaneno.
Mfano ni Halima Mdee anaongea pumba tupu bungeni,Zitto Kabwe anakosa point mpaka andanganya mafuriko ya rufiji yalisababishwa na bwawa la stieglers kubomoka. Mbowe analialia kama mtoto, maana habari za kampuni yake binafsi kufungiwa akaunti zinatuhusu vipi?
Kipi kinawasibu hawa watanzania?
Acha uongo, Mdee ni chama kipi cha upinzani? Ndugayi Part? Alafu Mbowe na Zitto hawapo bungeni, kalete uongo mwingine! Pia kama Wewe siyo pepo, hiyo watu kuponda upinzani kimoyo moyo umeisomaje?!Zamani wanasiasa wa upinzani walikuwa wakisimama kuongea ulikuwa unaona jamii nzima inazizima. Na kila mtu anaona wameongea hoja za msingi.
Siku hizi hakuna anayeona kama kuna la msingi wameongea na jamii ina wapuuza huku ikiwaponda kimoyomoyo na kimaneno.
Mfano ni Halima Mdee anaongea pumba tupu bungeni,Zitto Kabwe anakosa point mpaka andanganya mafuriko ya rufiji yalisababishwa na bwawa la stieglers kubomoka. Mbowe analialia kama mtoto, maana habari za kampuni yake binafsi kufungiwa akaunti zinatuhusu vipi?
Kipi kinawasibu hawa watanzania?
Kwani mzee Halima Mdee ni mbunge wa upinzani? Chama kipi cha upinzani? Yule mzee Halima yuko CCM kwa Sasa.Mfano ni Halima Mdee anaongea pumba tupu
Zamani zipi hizo? Usisahau uchaguzi mkuu ulikuwa takribani miezi 5 tu iliyopita na pasi shaka unajua kilichotokea katika uchaguzi huo pamoja na umma kufungiwa kapuni kwa miaka 5 netZamani wanasiasa wa upinzani walikuwa wakisimama kuongea ulikuwa unaona jamii nzima inazizima. Na kila mtu anaona wameongea hoja za msingi.
Siku hizi hakuna anayeona kama kuna la msingi wameongea na jamii ina wapuuza huku ikiwaponda kimoyomoyo na kimaneno.
Mfano ni Halima Mdee anaongea pumba tupu bungeni,Zitto Kabwe anakosa point mpaka andanganya mafuriko ya rufiji yalisababishwa na bwawa la stieglers kubomoka. Mbowe analialia kama mtoto, maana habari za kampuni yake binafsi kufungiwa akaunti zinatuhusu vipi?
Kipi kinawasibu hawa watanzania?
Tuliza matata yako tujenge nchi yetu chini ya mama Samia maana yeye ndiye raisKivipi?