Kwanini wanasisasa wa upinzani wamepoteza mvuto katika jamii? Ni uthibitisho kuwa jamii haiwaamini tena?

Huenda nawe ni DC hivi! Hii ni Hasara kwako Taifa kuwa na watu wanafikiri kiwango hiki
 
@idundugu yangu, bado tu unatumika? Kwani kile kitengo cha 7000 bado kinapiga kazi?


Wewe ni wa hiyo sana. Dakekizako
Atafanyaje wakati ndiyo kitengo kinamwingizia mkate wake wa kila siku?
 
Ebu toa ngonjera zenu hizo nyinyi Mataga wa lumumba
 
Umejuwaje?[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbona Zitto na Mbowe wameongea juzi ila kama wamepuuzwa na jamii?
Ulitaka hiyo jamii ifanyeje labda? Umemuona mfanyabiashara yeyote mkubwa akijitokeza kupingana na Mbowe? Ni mwananchi gani anayejielewa aliyempuuza Mbowe? Ni kwa vipi Zitto kapuuzwa na wapi?
 
Acha uongo, Mdee ni chama kipi cha upinzani? Ndugayi Part? Alafu Mbowe na Zitto hawapo bungeni, kalete uongo mwingine! Pia kama Wewe siyo pepo, hiyo watu kuponda upinzani kimoyo moyo umeisomaje?!
Mwacheni aendelee kuota
 
Zamani zipi hizo? Usisahau uchaguzi mkuu ulikuwa takribani miezi 5 tu iliyopita na pasi shaka unajua kilichotokea katika uchaguzi huo pamoja na umma kufungiwa kapuni kwa miaka 5 net
Mkuu muwache huyo aendelee kusinzia
 
Kama mbowe watu hawana hata muda naye amejitahidi kutaka kutengeneza tension kwa watu kupitia chawa wake wa ufipani wamepost kila mtandaoni kabla na baada ya hotuba yake ila watu hawataki hata kujua kasema nini😃😃😃.
Watu washazinduka now wanajua wapinzani ni wazushi na watu wa maslahi hakuna mtanzania anayewaamini tena.
 
Sasa nani atawafatiia watu waajabu wamesusia hadi uchaguzi unafikiri watanzania wajinga Sana wameshazinduka Kama Hawa ni matapeli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…