Kwanini wanasisasa wa upinzani wamepoteza mvuto katika jamii? Ni uthibitisho kuwa jamii haiwaamini tena?

Hata CAG kawazindua sana Watanzania kuona nyuma ya lile ”pazia la la hekalu’’ uzalendo ambalo limepasuka!
Ni kweli sababu ametaja hela zilizopotea ndani ya chadema naomba nikumbushe zilikuwa ni milioni miangapi vile?
 
Ulitaka hiyo jamii ifanyeje labda? Umemuona mfanyabiashara yeyote mkubwa akijitokeza kupingana na Mbowe? Ni mwananchi gani anayejielewa aliyempuuza Mbowe? Ni kwa vipi Zitto kapuuzwa na wapi?
Hujui kufanya tathimini?
 
Ubakaji wa uchaguzi wa mwaka jana,that's why
 
Uungwana ni kuheshimu hoja yako ingawa haina mvuto wowote ule kwa sasa.
Kuthibitisha hili,utanijibu kwa mashambulizi.
TUSUBIRI TUONE
 
Kwa uchaguzu Wa wabeba mabegi yaliyojaa kwenye vituo vya kupigia kura
 
Ulisoma mpaka darasa la ngapi? Ulifauluje mitihani yako? ULISHAWAHI kufanya utafiti? Ulihusu nn? Sample yake? Uliipataje?
Ukweli ni kwamba wewe ni mshabiki tu usiyeongozwa na sayansi yyte.
Watanzania wanawasikiliza na kuwaelewa sana wapinzani ndiyo maana hapo Bungeni lakini wanatajwa ndani ya bunge. Rejea maneno ya speaker na kibajaji yule mjinga mwenzio.
Pamoja na kwamba bunge halitakiwi kumjadili asiyekuwa sehemu ya bunge/tuhumu lakini amesikia wanavyolanyagana?
Note;
Ccm haijashinda uchaguzi hapo 2020.
Kwenye ofisi za ccm kinondoni watoto
Wale wasiojielewa waliokotwa mitaani na
Kwenda kumpigia kura magufuli cku mbili
Kabla ya zoezi na hili lilifanyika nchi nzima ( ushahidi ni mdogo wangu kushiriki. Waliahidiwa eft 5000/ hawajalipwa hadi leo.kule kasulu ilifanyika kwenye jumba la maendleo karibu na bank ya NMB . Pale Vituo vilifunguliwa saa 9 usiku na wasimamizi wakaanza kupiga na kuingiza KURA walisaidiwa na TISS. Nilikuwepo na niliona kwa macho yangu.
 
Huna akili,japokuwa unajifaraghua.
 
Hawajapoteza mvuto juzi tu mbowe kaongea yake ila anajibiwa na wabunge. Hii inaonyesha wabunge hawana cha kujadili mpaka wanajibizana na raia wa mtaani.
 
Naona wewe ndio umeongea pumba zaidi kuliko unaowatuhumu,hujui hata hicho chanzo cha mafuriko?
 
Kafa kabla hajaua upinzani, kweli mungu fundi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…