Kwanini wanasisasa wa upinzani wamepoteza mvuto katika jamii? Ni uthibitisho kuwa jamii haiwaamini tena?

Unaweza kujitekenya na ukacheka mwenyewe. Waachie mikutano yote ya ndani na hadhara uone moto wa upinzani? Kwani kwenye campaign hamkuona? Upinzani haujafa ccm kuweni macho.
 
Nawe unafanania vile unapost vitu vya kubeza ili upate kimlija cha kunyonye lkn aah ndio hivyo huna nyota inakubidi utie unafki kama hivi wakukumbuke anyway kazi nzuri lkn.
 
Hata wewe pia post yako imekosa mvuto pia haina mashiko ni hoja dhaifu.
 
Kwa jinsi walivyojitanabaisha kwenye msiba wa magufuli,wamejiweka katika hali ya kutoaminika tena
 
Nawe unafanania vile unapost vitu vya kubeza ili upate kimlija cha kunyonye lkn aah ndio hivyo huna nyota inakubidi utie unafki kama hivi wakukumbuke anyway kazi nzuri lkn.
Stupid.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…